Jina la Mkuu limepotea JF

Mkuu utatutia matatani jina hilo now linamwenyewe anawivu nalo Sana kiasi ambacho hakina kipimo napendekeza tuwe tunajiita wajumbe wa JF au sio wajumbe wenzangu
aaah,bhasi inabidi tukubaliane wanaJF wote,na uongozi watuambie kwamba inakuaje..kuhusu jina letu pendwa.
 
hahahaha.....binadamu bhana,bhasi inabidi mtu ajichagulie jina jepesi tuu,then aitwe hilo.mana mkuu ni kupeana heshima kwa sabu hatujuani vema
 
Lipooo mkuuu basi tu upepo wa madawa kiongozi hahahahahahah
 

Mkuu wa nini sasa...
Ukuu ni cheo/heshima/nafasi ya juu ktk utaratibu fulani. Ok natania anyway

Kama unachangia hoja za maana, zenye weledi humu JF naweza kukuita 'mkuu' kuonyesha heshima yako kwa michango yenye tija iliyojikita ktk mada/topic husika bila kuendeshwa na uchama.

Kwa mfano:
1. Mkuu Nyani Ngabu
2. Mkuu The Boss
3. Mkuu Nifa nk

Lakini siwezi kuliita zwazwa kama Lizaboni kwa jina hilo.
 
Hahah..mkuu mbna,mi nakuita mkuu though sifahamu kam kweli una sifa iyo.ila anyway hilo jina liliwekwa,tu ili kupeana heshima ivo.
 
[emoji23] kiongozi kwa sasa hali ya hewa zinafanana, yule uliyekuwa unamuita mkuu akikuona anapita sehemu nyingine.[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…