Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
- Thread starter
- #41
aaah,bhasi inabidi tukubaliane wanaJF wote,na uongozi watuambie kwamba inakuaje..kuhusu jina letu pendwa.Mkuu utatutia matatani jina hilo now linamwenyewe anawivu nalo Sana kiasi ambacho hakina kipimo napendekeza tuwe tunajiita wajumbe wa JF au sio wajumbe wenzangu