Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
- Thread starter
- #61
hahaa...lakini lengo la kuanzisha neno hilo sidhani kama ilikuwa ni kwasababu watumiaj wa JF ni wakubwa tuuWatoto wamekuwa wengi sana utawaitaje wakuu!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa...lakini lengo la kuanzisha neno hilo sidhani kama ilikuwa ni kwasababu watumiaj wa JF ni wakubwa tuuWatoto wamekuwa wengi sana utawaitaje wakuu!!??
ohoooooooo[emoji23] kiongozi kwa sasa hali ya hewa zinafanana, yule uliyekuwa unamuita mkuu akikuona anapita sehemu nyingine.[emoji28]
Wachache sana,tunaoitana ivo mkuu.Mkuu wa kituo? Ila mbona linatumika mkuu
yupi,uyo mkuu? hatumfaham.Siku hizi mkuu ni Mmoja tu[emoji276]
yupi,uyo mkuu? hatumfaham.
Asante,mkuuSawa mkuu
Mkuu we muite tu!Asprin amenipa warning nisimuite jina hilo.
Hahah,saw mkuu.Mkuu wa kaya
Kweli mkuu.Hapana mkuu.
Ahsante kwa kutukumbushaWakuu nowadays lile jina letu pendwa la kuitana mkuu,limepotea liko wapi? maana saiv utakuta watu wanaitana shemeji,dada,kaka,jamaa.....na majina mengine.kwamba tumeshafahamiana sana humu Jukwaani au watu wamezoeana sana hadi tumefikieni hatua ya kutambuana,kama ndivyo bhasi vizuri tumetambuana umri,jinsi na status zetu.ila jina mkuu ni zuri sna bhana turudisheni hadhi yake,au mnasemaje wakuu??
Sawa..mkuu.Ahsante kwa kutukumbusha
Hahah,kwanin mkuu?Sijawahi kulipenda hilo jina spendi kuitwa mkuu