Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

Hata akiachiwa, hatorudi tena mtasni na kuitwa DC Jenerali Lengai Ole Sabaya! Badala yake atakuwa tu ni good for nothing Lengai Ole Sabaya!

Hatavamia tena maduka ya watu kupora mali na fedha! Maana atachomwa moto! Hawafanyia tena raia wema ubabe, udhalikishaji na ukatili! Maana atakuwa hana tena mikono na nguvu za kufanya hivyo!

Hili ni fundisho tosha! Ingawa binafsi bado naamini kifungo cha miaka kadhaa gerezani, kinamsubiri.
 
Hata mimi japo ni bush lawyer nililiona hilo.

Huwa nasemaga kila siku wanasheria makini wako Kenya ndio maana kesi zao hurushwa mubashara luningani!
Jina lake ni LENGAI s/o......
Katika sheria hilo la kwanza ndiyo huwa na tija, kufanya mabadiliko ya jina la ukoo (Sabaya) hakufanyi yeye asiwe LENGAI ndiyo maana hearing proceedings zinaendelea kama kawaida.

Huyu kwa kifupi hachomoki, usidhani Rais alimtema ghafla tu bali tayari alikuwa na taarifa zote za matukio yake ya hovyo.

Kwa sasa LENGAI ajiandae kuwasilisha ushahidi wa maandishi au sauti ya kwamba alitekeleza maagizo ya mamlaka ya juu.
 

👍itakua mwisho na mwanzo mpya
 
Kama jina lilikosewa kwanini alikubali kwenda Mahakamani? Au kukamatwa na vyombo vya usalama? Si angekataa kwa kjsema sio jina lake?
 
NENDA KASOME TENA
 
Kama jina lake ni Lengai mbona baadhi ya mashahidi walishindwa kumtambua?

Wao wanamjua Lengai s/o Sabaya siyo yule Lengai s/o Sayaba waliyemkuta mahakamani!
 
Kama jina lilikosewa kwanini alikubali kwenda Mahakamani? Au kukamatwa na vyombo vya usalama? Si angekataa kwa kjsema sio jina lake?
Alibaini jina kukosewa wakati wa kusikilizwa kwa kesi yake, na pia baada ya kupewa nakala ya hati yake ya mashtaka bila shaka.

Au nasema uongo swahiba wangu Bush lawyer johnthebaptist 😜?
 
Ukiwa ccm kwenye keki ya taifa uwezi kubuguziwa
 
Kitumbua kimeingia nchanga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ukweli kuwa atakuwa lofa tu.
 
Kuna kitu hufahamu ww!!
Prejudice
kama marekebisho ya jina hayakum prejudice hio sio hoja....as long as he was property identified
 
Hata akishinda cha moto anekiona.
Muhimu ajifunze japo siioni sura ya kujifunza pale.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tatizo si anajifanya yeye ni Tiss!! Yaani dogo ni ni zaidi ya jeuri!! Yaani anajiona hii nchi kama ya baba yake vile! Anaulizwa maswali na mawakili wa Jamhuri, yeye anajibu kijeuri jeuri tu!

Sijui, simfahamu!! Yaani eti mpaka Mkuu wake wa Mkoa alikuwa hamfahamu!! Nitashangaa sana iwapo Hakimu hatamfanyia suprise ya kumgonga nyundo za kutosha, ili akili yake irudi katika hali yake ya kawaida!
 

Uchaguzi wa mwaka jana uli set standard mpya ya Tanzania, lolote lawezekana, but the thing is: Who cares?
 
Hata kama ataachiwa huru lakini watakua wametuonyesha na kuionyesha dunia kuwa maDC na maRC ni vyeo visivyo na tija kwa maendeleo ya wananchi zaidi sheria ya serikali za mitaa na tawala za mikoa haina tija wakati huu wa vyama vingi kwa sababu inawaweka maRC na maDC kuwa wasimamizi wa maslahi ya chama tawala badala ya maendeleo ya wananchi.
Kiufupi Tanzania tunahitaji kupunguza au kuondoa kabisa hivi vyeo vya uteuzi kwa maslahi mapana ya nchi kwanza vinaongeza mzigo wa matumizi ya serikali matumizi ambayo yangepelekwa kwenye maendeleo
 
nawe unaamini kabisa alikamatwa ...zile ni trick kukutoa kwenye reli kijana...ukute aliwekewa hadi TV mahabusu...mwenzio yupo kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…