Jina la Spika litashangaza wengi

Jina la Spika litashangaza wengi

hakuna watu waliokua disinterested na siasa kama waTZ kwa sasa,hizi kelele za mtandaoni ni regurgitated noise za watu haohao ambao hata laki nne hawazidi,,kwahiyo hilo suala la jina kushtusha wengi halitakua zito kama unavyodhani
 
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Zungu Mbunge wa ILALA
 
Hata mimi bado siamini hili jina kwa kweli litashangaza wengi.
 
U
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Ungemtaja ingependeza sana mkuu !!
 
So far so good, wafuatao wameufyata Hadi 2030 au 2040
1.Sabaya
2. Bashite
3. Ndugai
4. Mzee wà kushika dola aka Bashir
5. Polepole
6. Mrisho

Walisumbua sana enzi hizo......
 
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe

Mtoto Wa Mzee Wa Msoga;
 
Naenda kupokea majukumu mazito kwa kipindi hiki. Naomba ushirikiano wenu humu Jf, nitabadili ID pia
 
Kwa mfumo huu wa kumpata spika hakuna mhimili wa bunge Bali bunge ni branch ya chama tawala. Nakumbuka Trump aliwasilisha hotuba yake kwa spika na baada ya kufungua hotuba mama yule (speaker) aliichana hotuba mbele ya Trump na maisha yakaendelea. Hapa kuongelea tozo tu speaker katishwa naye kapanic Hadi kukimbia ofisi.
 
Back
Top Bottom