Jina la Spika litashangaza wengi

Jina la Spika litashangaza wengi

Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
Sijui walifikiria nin kumpa nafas
 
Spika hateuliwi, anachaguliwa kwa kupigiwa kura na wabunge na kwa kuwa Bunge hili limejaa CCM watupu, hakuna cha kushangaza yeye kuwa kada wa CCM.

Kwa kuwa CCM ina tabia ya kutusukumizia viongozi wa hovyo kuliko wa awali, hakuna cha kushangaza akiwa wa hovyo kuliko Ndugai na hili halina mjadala.

Atakayeshangaa haijui Tanzania, hajui madhara CCM iliyotusababishia ktoka tupate uhuru miaka 60 iliyopita na hajui kuwa yeye ni kula na kulala, na hivyo ni mtaji mkubwa na hazina ya CCM.
 
Alaaniwe magufuli




Sijui imani yako lakini sio mbaya mtu ukijifunza kuutunza moyo wako na akili zako kwa kupitisha vitu vitamu na kuwaombea unaoona hawafai



Zaburi 109:17
Naye alipenda kulaani, nako kukampata. Hakupendezwa na kubariki, kukawa mbali naye

Yakobo 3:10-11
Maneno ya kubariki na ya kulaani hutoka katika kinywa kimoja. Ndugu zangu, mambo haya hayapaswi kuwa hivyo. Je, chemchemi moja yaweza kutoa maji matamu na maji machungu pamoja?
 
So far so good, wafuatao wameufyata Hadi 2030 au 2040
1.Sabaya
2. Bashite
3. Ndugai
4. Mzee wà kushika dola aka Bashir
5. Polepole
6. Mrisho

Walisumbua sana enzi hizo......
Wengine hapo nyoka wanatumika kuchunguza wenzai

Nyangumi moja wapo kishavuliwa walimvuta kwny Sukuma Gang akajaa leo hii kina Gwajima, Msukuma, Kibajaj ndio wa kwanza kumruka
 
Zamu ya spika muislam
MAAWEEE!
1641504296913.png
 
Back
Top Bottom