Jina la Spika litashangaza wengi

Jina la Spika litashangaza wengi

Kwan atateuliwa au watajitokeza wagombea?
Tofauti na miaka ya nyuma ambayo tumezoea kuona naibu spika akipewa nafasi kubwa ya kuwa spika hali hiyo itakuwa tofauti na Spika mpya atakuwa si maarufu kivile na uteuzi wa jina lake utashangaza wengi.

Mimi mwenyewe nimeshangaa niliposikia ndio lenyewe
 
Sasa hapo unamaanisha nini, ateuliwe halafu useme nilisema ama!
 
Ni kweli kabisa kwa sababu hata wabunge walio wengi hawalifahamu kabisa jina langu. Wewe ni nani kakudokeza kuwa ni mimi?
 
Sasa hapo unamaanisha nini, ateuliwe halafu useme nilisema ama!
Huyu muungo mkubwa- kwenye uspika hakuna siri - watu wanachukua fomu kwenye vyama vyao- tutawajua mda si mrefu tena wote
 
Samia ni mdini na mbaguzi anajaza waislam watupu.TEC susieni shughuli zote za samia mpaka ajirekebishe kama kipindi cha Vasco Dagama akaja kumuangukia Pengo kuwa anatengwa.
Nikuombe saana hii mambo ya Imani za watu achana nazo....heri uongelee kabila zao kuliko Imani.
Mfano rahisi ni kama vile alivyosema kwa vile yeye ni mgogo,laiti angesema kwa vile yeye ni Mu anglikana pangetokea malumbano ambayo yasingekwisha mapema

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Tumeambiwa ni zamu ya Wanawake hii. Wanaume tumeshindwa hata kumtetea Ndugai
Tumeonyesha udhaif mkubwa
giphy.gif
 
Back
Top Bottom