KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Leta huo ushuhudaJina lile ni kweli, lina nguvu na uweza. Nimeshuhudia kwa macho yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leta huo ushuhudaJina lile ni kweli, lina nguvu na uweza. Nimeshuhudia kwa macho yangu
Sinachakujadiliana nawewe mkuu yaonyesha watumia hisia na akili umetupa!, kumbe unaangalia miaka na sio ufahamu!.. hamnamo kitu hapa😂una miaka mingapi?isije ikawa ni under 16
-Kama imani hauna jina la YESU utalitaja na hakuna kitakacho tendeka wala kutokea. Sababu ya kulitaja jina la Yesu Kristo ni kwamba Yeye alishinda kifo na ana mamlaka.Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu mara kumi, ishirini, thelathini....... kutoa pepo wanatumia jina la Yesu yupi? Obviously siyo Yesu Kristo, maana hata Yesu alisema wapo watu wanaotoa pepo kwa nguvu za Belzebuli.
Sinachakujadiliana nawewe mkuu yaonyesha watumia hisia na akili umetupa!, kumbe unaangalia miaka na sio ufahamu!.. hamnamo kitu hapa
Umejibu vema. Siku hizi watu wamekuwa wawindaji wa miujiza tu wala hakuna tena kumuabudu wala kumtafuta Mungu wa kweli.-Kama imani hauna jina la YESU utalitaja na hakuna kitakacho tendeka wala kutokea. Sababu ya kulitaja jina la Yesu Kristo ni kwamba Yeye alishinda kifo na ana mamlaka.
UFUNUO 12:11 (Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa.)
-Sio kila mtumishi ameitwa kutoa mapepo, kuponya wagonjwa, kutenda miujiza au hata kutabiri. Watumishi wengi wanajiinua kufanya hayo pasipo kila cha Roho Mtakatifu kwa sababu zao binafsi either kujiinua mbele ya macho ya watu kwamba na wao wanauwezo. Hivyo kwa kufanya hivyo hakuna kitu kinachotokea cha nguvu ya Mungu.
-Pili kila mtu anauwezo wa kujiponya na kuponya wengi (hii ni tofauti kidogo na point hapo juu mnielewe vizuri) . Kwa wewe kufunga na kusali unajisogeza karibu zaidi na kiti cha Enzi hivyo kupitia imani yako unaweza kujiponya na kuponya wengine.
MATHAYO 11:12
Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.
KUJIBU HOJA YAKO NDUGU
- Ukitaka kuona nguvu ya Mungu ambayo inapatikana kirahisi yakupasa kutafuta uso wake kwa NGUVU zote.
unaumwa nini??Basi ndugu nifanyie Mimi maombi kwa jina la yesu vile uwezavyo nipone maana ninaumwa hapa nilipo...
Ikifanyika hivyo naapa nitakuwa wakwanza kuja kutoa ushuhuda hapa nakwengineko sitolaza damu walahi...[emoji28]
Hawa wanaolitumia kutapeli watu pesa ndio unasema hawajafunuliwa na Roho Mtakatifu au unawazungumzia wengine?? Mimi naongelea hawa matapeli wanaokaa redioni usiku kucha kulibwabwaja jina la " Yesu".Hata Yesu alipowauliza wanafunzi mnanijua mimi kama nani hawakujua...
Wengine walisema Mwalimu, wengine Rabi...
Isipokuwa mwanafunzi wake Petro ndio alisema kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu aliyehai...
Hivyo hata sasa tuna watu hawajui kuwa jina la YESU Lina nguvu sana, likiitwa liponya magonjwa na mambo mengi linatenda...
Ni kwakuwa hawajafunuliwa na Roho Mtakatifu kujua YESU ni nani...
Nazungumzia watu wanaokwenda kwa Manabii wa uongo...Hawa wanaolitumia kutapeli watu pesa ndio unasema hawajafunuliwa na Roho Mtakatifu au unawazungumzia wengine?? Mimi naongelea hawa matapeli wanaokaa redioni usiku kucha kulibwabwaja jina la " Yesu".
Kuugua kusikoweza kutamkwa alikozungumzia mtume Paulo siyo huko kubwabwaja usiku kucha au kulitaja jina la Yesu mara zisizo na idadi. Ile ni lugha ambayo inapita ufafanuzi wa kibinadamu. Siyo kulalama usiku kucha kama wale manabii wa Baali. Hili tukubaliane tu. Wanaobwabwaja jina la Yesu mara ishirini kutoa pepo na kubwabwaja usiku kucha hao ni matapeli tu. Ukweli mchungu lakini umezwe maana ni dawa. There is absolutely no scriptural support for such weird practices. Ni utapeli mtupu.Nazungumzia watu wanaokwenda kwa Manabii wa uongo...
Kuwa wazipime Roho na watazipimaje?
Ni mpaka ukishakuwa na Roho Mtakatifu basi utajua Nabii yupi wa kweli na wa uongo utaepuka...
Ulishaonywa kuwa hawa watakuja na wapo ndio hao unaozungumza...
Pia kuongea kuwa Manabii wanataja jina la YESU mara nyingi hawaponyi si sahii..
Maana unaona kwa macho ya mwili na neno linasema wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu
Kila mtu anauombaji wake ila Roho Mtakatifu hutoombea kwa baba kwa kuugua kusipoweza kutamkwa...
Kuhusu kuwatambua manabii wa uongo mbona Yesu ameshatupa kipimo tayari? Si suala la tena kumtafuta roho fulani atuambie nani ni wa uongo!Nazungumzia watu wanaokwenda kwa Manabii wa uongo...
Kuwa wazipime Roho na watazipimaje?
Ni mpaka ukishakuwa na Roho Mtakatifu basi utajua Nabii yupi wa kweli na wa uongo utaepuka...
Ulishaonywa kuwa hawa watakuja na wapo ndio hao unaozungumza...
Pia kuongea kuwa Manabii wanataja jina la YESU mara nyingi hawaponyi si sahii..
Maana unaona kwa macho ya mwili na neno linasema wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu
Kila mtu anauombaji wake ila Roho Mtakatifu hutoombea kwa baba kwa kuugua kusipoweza kutamkwa...
Kipimo Gani?Kuhusu kuwatambua manabii wa uongo mbona Yesu ameshatupa kipimo tayari? Si suala la tena kumtafuta roho fulani atuambie nani ni wa uongo!
Seriously hujui kipimo alichotupa Yesu kuwatambua manabii wa uongo?? Mbona arguments zako zinaonyesha wewe si mgeni kwenye biblia?!!Kipimo Gani?
Seriously hujui kipimo alichotupa Yesu kuwatambua manabii wa uongo?? Mbona arguments zako zinaonyesha wewe si mgeni kwenye biblia?!!
Hapo unaposema "rohoni" ndipo hapohapo shetani amejificha. Blind faith, faith without reasoning n.k. Hizo ndizo ngao anazotumia shetani kuwapotosha YAMKINI HATA WATEULE. Hilo la kuokoka nalo una tafsiri potofu. Labda ukiniweka kwenye mizani ya kilokole utaniona hivyo. Lakini huo sio wokovu. It is a man made theory of salvation. Upuuzii tu na ndiyo yaliyotufikisha huku kwenye upofu wa kiroho.Huna Upendo, na sidhani kama wewe ni Mkristo aliyeokoka, unahukumu...
Unahukumu wapakwa mafuta wa Bwana bila kuwa na udhibitisho wa Rohoni bali mwilini...
Hata Mungu mwenyewe ni wa Rohoni..Hapo unaposema "rohoni" ndipo hapohapo shetani amejificha. Blind faith, faith without reasoning n.k. Hizo ndizo ngao anazotumia shetani kuwapotosha YAMKINI HATA WATEULE. Hilo la kuokoka nalo una tafsiri potofu. Labda ukiniweka kwenye mizani ya kilokole utaniona hivyo. Lakini huo sio wokovu. It is a man made theory of salvation. Upuuzii tu na ndiyo yaliyotufikisha huku kwenye upofu wa kiroho.
Kuokoka kwa tafsiri yako maana yake nini??Hata Mungu mwenyewe ni wa Rohoni..
Shetani amecopy kila kitu naye ni Roho..
Na ndio maana neno linasema...wanaongozwa na Roho wa Mungu hao ndio wana wa Mungu...
Huwezi kuwa mteule kama hujaokoka...
Kumpokea yaani kumkiri na kuamini kuwa Bwana Yesu kuwa ni mwokozi wa maisha yako...Kuokoka kwa tafsiri yako maana yake nini??
Naomba ubaki hapo kwenye kuamini na kukiri ili wengine wageni wa imani yetu tusiwaletee abradacadabra zisizo na maana. Tulitakiwa kuwa simple tu. Ila walokole wameweka mambo ya ajabu tu. Ati mtu kukaririshwa sala fulani ndio ameshaokoka. That is a satanic deception. Imani huanzia kwa kusikia NENO la Kristo kisha huthibitika kwa nje. Wokovu wa kilokole is a pure rubbish.Kumpokea yaani kumkiri na kuamini kuwa Bwana Yesu kuwa ni mwokozi wa maisha yako...