Jina la Yesu wanalotumia wahubiri wengi si jina la Yesu wa kweli

Naomba ubaki hapo kwenye kuamini na kukiri ili wengine wageni wa imani yetu tusiwaletee abradacadabra zisizo na maana. Tulitakiwa kuwa simple tu. Ila walokole wameweka mambo ya ajabu tu. Ati mtu kukaririshwa sala fulani ndio ameshaokoka. That is a satanic deception. Imani huanzia kwa kusikia NENO la Kristo kisha huthibitika kwa nje. Wokovu wa kilokole is a pure rubbish.
Shida ni kuwa sio kila anayesali kanisani ni Mlokole, kuna tofauti ya kuokoka na kuishi wokovu..

Na kwenda kanisani Kila siku...

Sasa wengi hudhani kuokoka ni rahisi..

NB Wokovu sio kitu kirahisi ni lazima ujikane...

Uache dhambi kweli, upambane na majaribu ushinde, ukue kiroho...
 
Shida ni kuwa sio kila anayesali kanisani ni Mlokole, kuna tofauti ya kuokoka na kuishi wokovu...

Sasa wengi hudhani kuokoka ni rahisi

NB Wokovu sio kitu kirahisi ni lazima ujikane...

Uache dhambi kweli, upambane na majaribu ushinde, ukue kiroho...
Bila neema hayo uliyotaja hayawezekani. Utapambana lakini utaanguka tu. Mafarisayo walijaribu wakashindwa ndipo ikaja enzi ya neema. Ni mpaka uwezeshwe. Hapo ndipo walokole wanapoanguka. Ukitaka kupambana kwa nguvu zako ujue ukijikwaa kwenye amri moja umevunja zote. Ukijikwaa ukamuangalia mwanamke/mwanamume kwa kumtamani umekwisha zini. Na kwa sababu umevunja amri hiyo moja basi umevunja na zile tisa zilizobaki!!!
 
Toba na Rehema ya kweli hutusaidia...

Ila kuna kufanya dhambi kwa mazoea...

Kwakuwa neema ipo ..

Hii inaharibu pia
 
Toba na Rehema ya kweli hutusaidia...

Ila kuna kufanya dhambi kwa mazoea...

Kwakuwa neema ipo ..

Hii inaharibu pia
Anayefanya dhambi kwa sababu kuna neema huyo hayuko chini ya neema. Neema inatuwezesha kuishi mbali na dhambi na si kinyume chake
 
Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu mara kumi, ishirini, thelathini....... kutoa pepo wanatumia jina la Yesu yupi? Obviously siyo Yesu Kristo, maana hata Yesu alisema wapo watu wanaotoa pepo kwa nguvu za Belzebuli.
Kama ni kwa nguvu za Belzebuli kwa nini hawasemi kwa China la Belzebuli?

Yesu Yeshuwa hawezi kuwa Belzebuli.
 
Kuna jamaa mmoja mgalatia mwenzangu nilimuuliza kiuhalisia wakristo ni watu ambao wamesoma elimu sana ya dunia kuliko waslam.Hivyo kwa maana hiyo wana upeo wa kupambanua mambo kuliko wenzetu wa kobazi.
Nikamuambia sasa mbona wakristo ni warahisi sana kuiingizwa mkenge kuliko waislam? akaniambia kwani vipi.Nikamuambia umeshawahi sikia muislam anajitangaza yeye ni nabiii? akanijibu hapana kwanza kichwa chake kinaweza kupigwa mnada popote alipo?.
Nikamuambia hivi babu wa Loliondo alivyokuja unakumbuka alitumia gear gani hadi viongozi wa kanisa wakubwa sana wa Lutheran wakadai ajengewe sehemu na kweli serikali ikaingia mkenge matokeo yake watu wengi sana waliotumia tiba yake sasa wako kaburini?.
Akaniambia mtani wangu sema taratibu tusije sikiwa maana hii ni aibu kubwa.
Mimi YESU alivyokuwa anaponya sina pingamizi maana alikuwa ni binadamu aliyevaa ngozi ya mungu ndani yake na alikuwa na uwezo wa kipekee sio hawa manabii uchwara wa sasa hivi wanakuuzia maji ya chumvi wanayaita ya baraka.
 
Mbona hata wanafunzi wake Yesu waliponya watu...

Hata sasa kuna wanadamu ambao wana Yesu ndani yao, na wana karama ya Uponyaji ambayo wamepewa na Roho Mtakatifu...
 
Kama ni kwa nguvu za Belzebuli kwa nini hawasemi kwa China la Belzebuli?

Yesu Yeshuwa hawezi kuwa Belzebuli.
Wanatumia jina la Yesu lakini nguvu iliyo nyuma ya pazia ni ya Shetani. Akina Yesu Yeshua) wapo wengi tu ukiachilia mbali Yesu Kristo ( Yeshua Hamasheak). Siyo kila akitajwa Yesu basi ni Yesu Kristo. Hata mtu akiamua kujiita Yesu ( Yeshua) hakatazwi!!
 
Kwanza Yesu ni romanized name for Yesus kwa Kiyunani na ambayo pia Greek name for Yah-shua kwa Kiyahudi, ni kama Yakobo kiswahili na James kwa English ni the same name and have the same meaning kwa the same person ila inategemea unaitamka kwa lugha gani!

Ligine tofautisha majina yenye uhalali kiimani katika vitabu vya kiimani na lugha za wanadam Ukweli ni kwamba Kiarabu Yesu ni Ya'sua na ndivyo Biblia ya Kiarabu toka karne ya kwanza kabla ya Uislamu yaani miaka zaidi mia 5 kabla ya Uislamu walivyomuita na ndivyo hadi leo Wakristo ambao ni Waarabu wanavyomuita ( Lebanon Wakristo ni zaidi ya 40% na hata Rais wao ni Mkristo, Misri tamka Masri zaidi ya 14% ni Wakristo wa Coptic ni Waarabu kwa nasaba na lugha hata kabla ya Uislamu na wameendelea kumuita hivyo hadi leo)

Lingine kumbuka kukopa neno kutoka lugha moja kwenda kwenye lugha nyingine haibadilishi maana husika dhana hii tunaiita contextualization! Mfano Yah-shua ni Kiyahudi, Ya'sua ni Kiarabu, Yesus ni Kiyunani, Jesus ni Kiingereza na Yesu ni kiswahili na zote ziko rooted katika original meaning ya Yah-shua jina la Yesu kwa Kiyahudi yenye maana ya Mwokozi!
 
Yeshua maana yake MUNGU NI MWOKOZI. Jina hilo walikuwa nalo watu wengi tu na hata sasa wapo wayahudi wenye jina hilo. Ndiyo maana hata askari waliokwenda kumkamata Yesu bustani ya Gethsemane walipoulizwa wanamtafuta nani walijibu specifically "Yesu Mnazareti". Yesu siyo jina lenye hati miliki ya mtu fulani, no matter in which language it is used.
 
Baki na ujuwaji wako, am out.
 
Back
Top Bottom