Mohamed Said,
Yaani kuna watu wapumbavu sana,hebu tuambieni what 'Islam "as a religion had to do with majimaji war,
Usitaje majina yao kwamba kwa vile ni ya ki arabu,basi hiyo ilikuwa silaha tosha katika mapambano.
Je kabla ya kwenda vitani,watu waliitwa wengine wakakataa,lakini viongozi wa " kiislam"kwa kutumia mahubiri misikitini,wakaweza kuwashawishi waumini,kwamba kupigana vita ni wajibu wao!!!,
Nao wananchi,kwa ushawishi wa dini,wakaingia vitani!??,ni kweli ilitokea hivi??
Kuna watu wanatuaminisha,kwamba Uhuru wa TZ,uliletwa na waislam,kwa sababu shughuri za kudai Uhuru,zilifnyika dar, na dar ni pwani,wenyeji wengi ni Islam,kwahiyo Uhuru uliletwa na waislam,
Nataka niwaulize,mnafikiri,Tanganyika ni Dar pekeyake,harakati nyingi zipo zilizocfanyika nje ya Dar,
Hata mapambano ya kupinga ukoroni,yalifanywa na watemi wengi wa makabira mbali mbali,.
Jamani msipotoshe historia,
Kwanini mnakuwa na obsessation na uislam,
Radical Muslim,wanaamini kwamba wa Islam bora ni wazungu wa USA,na UK,ila hawajijuhi tu,kila jambo zuri,lazima liambatanishwe na u Islam!!?
JWTZ kwa miaka kadhaa iliyopita,imekuwa na wenyeji wengi wa musoma,je ni sahihi kusema na kuweka kwenye historian kwamba, mipaka ya nchi hii,na vita vyote turivyopigana,wamepigana wakurya,wajita,waluo,wakati sisi wazaramo,wamakuwa,na wakwere,tunakura madafu na ngisi!!!??kweli?
Wahaya ni wasomi wa kwanza nchi hii,je ni sahihi,kusema,maendeleo ya kitaaluma yameletwa na wahaya.
Al shababy,boko haram,daesh,wote hawa ni Islam,au Arabs kwa majina,na dini wanayoamini,je 100yrs kutoka Leo,ni sahihi kusema,uislam,ndio dini ambayo imezalisha vikundi vya kigaidi dunia nzima,kwamba dini hiyo inamchango mkubwa sana ktk ugaidi.???
Pale Zenj,takwimu zinaonyesha,vitendo vya kuwatendea watoto vibaya,sodomization,vimekithiri sana,sasa ukitegemea 99%ya wenyeji ni Islam,je ni sahihi kusema,dini inamchango mkubwa,ktk hili,?kama sio,kwamba hawa waharifu wanatenda haya kwa tabia zao chafu,sio dini inayowasukuma,then,hata wale walipigana vita,walisukumwa na uzalendo wao,bila kujari,majina yao ni Joseph,yusufu,Ashraf,Ali,
Islam had nothing to do with their patriotism,
Uislam,upo mpaka sasa,mbona huo uzalendo hatuuoni,Ndani ya siasa(CUF),Somalia,Libya,