Jina lake ni Abdulrauf Songea Mbano siyo Songea Mbano Sultani wa wangoni wakati wa vita vya Majimaji 1905 - 1907

Jina lake ni Abdulrauf Songea Mbano siyo Songea Mbano Sultani wa wangoni wakati wa vita vya Majimaji 1905 - 1907

wakati wenzetu wanapambana na maisha kuboresha hali zao sisi tunapambania majina,mungu atusaidie.

mosi,kwenye maisha unaweza pewa jina la imani au utani au tukio au jina likawa maalumu kwa ajili watu wawili walioshibana na wakajipa jina maalumu hivyo kueana majina km kraf,abdullahman ,karl ,goetzen,herman castro,vladimir ,lumumba,seyyid,said, nk ni mapenzi baina ya aliepokea jina na alietoa au mapenzi ya wazazi na majina hayo yalikuwa na malengo ya kutunza kumbukumbu ,kudumisha urafiki,kumuepusha mtu na adui nk mfano wakati twining anaondoka au anaanza ugavana wtt wengi wa kikristo hasa upande wa kiprotestant walipewa majina hayo sio wote walimpenda twinning ila wengine ilikua tukio muhimu kwao.

pili,kiafrika hasa kitanzania wazee hawakuwa na uchifu wala usultani ila walikuwa na ufalme wakiamini maeneo waliokuwa wakisimamia ni nchi na sehemu kubwa ya uongozi ilikuwa kurithi au vita,kuingiza uchifu/chief na usultan/sultanate kwa kuhusisha tawala tukihusisha ya kutoka uarabuni au ulaya kwa maana ya ukristo na uislam si kuwatendea haki maana waarabu na wazungu walikuta kuna tawala za kiafrika km waliziboresha na kuzisaidia haimaanishi kuwa wao ndio walionzisha utawala wa milki za wakati huo za kiafrika.

tatu,tafiti za wasomi mara nyingi zinaegemea kwa mtu alie gharamia tafiti au mtazamo binafsi wa mwandishi,mfano mkwawa kuitwa sultan kwake haikua inshu kwa kua hakuona inampunguzia au inamuongezea chochote kwenye utawala wake.

nne,ni aibu mtu kujisifu kwa kuitwa john au abdala badala ya kujiita mareale,mirambo,mihambo,masanja,mgonja,mtosa,kibasila nk nk hii ina maanisha kuwa tunapenda kuabudu vya wenzetu hatuamin kuwa hata majina yetu yana hadhi,na km tumepata majina kwa ajili ya historia basi hata hivyo tafit zetu zitakuwa za kujikweza na hazina manufaa kwa jamii
 
Yaani mtu anaitwa rumahiza ww unasema jina halisi n hlo la kiarabu? Umetawaliwa ubongo
 
Majina yetu halisi ni ya kiafrca sio hayo ya kuasili. Sijui mohamed shaban Rasul chrspin moses john
 
Mohamed Said majina yako ya "Kimatumbi" na Kimanyema ni yapi maana wewe pia ni mtu mashuhuri ktk historia za Tanzania. Lazima rekodi yako pia iwekwe wazi kwa vizazi vijavyo na siyo tu majina ya Chifu Mbano Songea.
 
Juan...
Umeghadhibika na kutumia neno, ''upumbavu.''
Hii ni moja ya ibra ya historia hii kila inapoelezwa ghadhabu zinapanda.

Umesema mengi na sitoweza kukujibu yote.
Nina swali moja tu kwako.

Kwa nini historia hii inakukera?
Historia wala hainikeri,ila nakerwa na upotoshaji wa historia,huku uswahilini kwetu,watu wanaamini,maraisi wote "wakristo" waliotawala Tanzania,hawakufanikiwa,waliboronga,
Sasa hata kama waliboronga na kufanya madudu,kwanini ihusishwe dini? Ushaidi uko wapi kwamba dini yao,ilikuwa na mchango kwa "madudu " waliyoyafanya?
Consiparacy theories kama hizi,ndio huwa zinanichefua kabisa,
 
Mohamed Said;
Pamoja na utafiti wako wote wa siku nyingi...
Pamoja na umri ulionao...
Mpaka leo unaamini kuwa kila mwenye jina la kiarabu ni muislam.

Pole sana.
 
Unalazimishia udini, hao wazee hata madini yenu walikuwa hawayajui, kama huyo mzee kwa ndumba nasikia alikuwa balaa, au uisilamu na ndumba zimo.
 
Historia wala hainikeri,ila nakerwa na upotoshaji wa historia,huku uswahilini kwetu,watu wanaamini,maraisi wote "wakristo" waliotawala Tanzania,hawakufanikiwa,waliboronga,
Sasa hata kama waliboronga na kufanya madudu,kwanini ihusishwe dini? Ushaidi uko wapi kwamba dini yao,ilikuwa na mchango kwa "madudu " waliyoyafanya?
Consiparacy theories kama hizi,ndio huwa zinanichefua kabisa,
Juan...
Naona kama tunapishana.
 
Mohamed Said;
Pamoja na utafiti wako wote wa siku nyingi...
Pamoja na umri ulionao...
Mpaka leo unaamini kuwa kila mwenye jina la kiarabu ni muislam.

Pole sana.
Nanren,
Wa kuhurumiwa ni wewe ndugu yangu.
 
Mohamed Said majina yako ya "Kimatumbi" na Kimanyema ni yapi maana wewe pia ni mtu mashuhuri ktk historia za Tanzania. Lazima rekodi yako pia iwekwe wazi kwa vizazi vijavyo na siyo tu majina ya Chifu Mbano Songea.
Bagamoyo,
Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Samitungo...
 
Mtemikwilla,
Kilichonifanya nitaje Uislam ni kuwa baada ya uhuru zilifanyika jitihadi
ya kuifuta historia ya Uislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Kwa ajili hii nikaamua kufanya kuiandika ili watu waamue nani mkweli
kati ya historia rasmi iliyoandikwa na Chuo Cha Kivukoni ipi ya kweli
ipi ya uongo:

GImHALCx9nW4x1xJCDWjfSfdEAXf3Tt8nnPGlooNspCrU2qbiCSojJFIhXatI0JXf16eeMHcmUJfe0kFgWtbCB9t3jtIsX4hYeCVhc6HFUn-g7gvmDeUphIWORTEfc4YYOj9hOqipmKsVY71lvI2mU_RPJwEhWCCD9nYTlPyV0vFDTncKmjotLR0IcoabbEr-ODbmHcq26kMgXkGgq0_XZEgg9xcsDCqkgK-wP2J8yv1XYvxZl4KDq6JnVlymth0LrvPVxvd4MF5lpLeu-cgjuxZahg-R8Xhs44xMewTUOZ4YgOCA5TsrBVz_FvswA8ff5X_1OnS5W3K_PGZKOfFV8P7p8r5g_oN74C_IyUm0ZRfy6ZwoDYLWP0JJ9U_Zub5rhgY62Ci4x5-znNvW3-C2Em5socupNhgUxckHYMCMuHeeoeJYwvFYotGYIY58XA1XijGM2Zi1zhmluZoGqcIpUY49xuagCk8V2ukuywA0krXpBzRJCI7bLSdPrw7LUHQNjP7sJGP0ncia2i7AoNNzbzIlpJrp2mTCdY0xAr1ZgvPp488sERgfNNBC4w2GXK88-Rugiq_NkB21wqip7eV6ScLll4kjPly_yxgmQhi=w141-h220-no
kaka wapi naweza pata nakala ya kitabu chako hiki (toleo la kiswahili)
 
mnyikungu, Umeongea point sana mkuu kwa sababù kiasili hawa ma bwana walikua viongozi wa kijadi fuatilia hata historia ya asili ya wangoni huwezi kuona John au Huyo Abdala bin Songea walikua na majina yao Eti Adala bin mbano duh
 
Back
Top Bottom