Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Nazidi kujifunza mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukweli upi mkuu hao machifu baada ya kunyongwa na kuzikwa walindikwa majina yao ya asili sasa huyu mzee anavyodai Chifu songea haitwi songea mbano bali abduli naniHATA KAMA UTAINGIZWA UDINI CHA MSINGI UKWELI UFAHAMIKE ILI KUWEKA SAWA HISTORIA.MIMI PIA NI MGONI NA BABU YAKE NA BABA ALIKUWA NA JINA LA KIISLAM JAPO SIJUI ALILITOA WAPI.
ukweli upi mkuu hao machifu baada ya kunyongwa na kuzikwa walindikwa majina yao ya asili sasa huyu mzee anavyodai Chifu songea haitwi songea mbano bali abduli nani
hao machifu walihojiwa kabla ya kunyongwa na majima yalioandikwa vibaoni ni yale yale waliotumia hawa machifu enzi ya utawala wao na hadi vita ya maji maji
Bagamoyo,
Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Samitungo...
Itapendeza ukitumia majina yako yote ili watu wako wote wajivunie kuona ukijitambulisha kwa Watanzania na walimwengu kama Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Samitungo.
Na baada ya hapo kama mwanahistoria kwa pamoja tuwashawishi na wengine kuinga mfano kujivunia asili yao na mengineyo yaendayo na utambulisho walioishi nao kitamaduni, kimila na kiimani ili kutunza historia kamilifu.
aende maktaba ya mkoa pale songea kila kitu kipo pale atakuna na mengine yatamfunga mdomoSasa kama ukimuuliza hilo swali akafafanua kuwa waliyapataje hayo majina itapendeza kwa sababu ukweli ndio tunaoutaka.Japokuwa walikuwa na majina ya kiafrika lakini kupewa majina ya kiarabu ni sehemu ya historia.Sasa si vibaya tukijua mapito yao yote hadi pale walipoishia,mimi siongelei udini bali ninasapoti mtiririko mzima wa historia hasa kama kuna ukweli ndani yake.
Sehemu nyingi wapigania uhuru walikuwa ni waisilamu dhidi ya wakoloni wakiristu.Naona "ishu" Kwa mleta mada ni uislamu ktk mapambano zidi ya ukoloni na si historia kama anavyotaka tuamini.
Bagamoyo,Itapendeza ukitumia majina yako yote ili watu wako wote wajivunie kuona ukijitambulisha kwa Watanzania na walimwengu kama Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Samitungo.
Na baada ya hapo kama mwanahistoria nguli, kwa pamoja tuwashawishi na wengine kuiga mfano wa kujivunia asili yao na mengineyo yaendayo na utambulisho walioishi nao kitamaduni, kimila na kiimani ili kutunza historia kamilifu.
Ktk hili nakubaliana nawewe ila panaponishangaza nyumba nyingi zawenyeji wairinga mjini zile kongwe nizawaislam,nisaidie hapo we mnyaluMimi mwenzako ni mhehe kabisa, najua vyema historia ya kabila langu, kama uislam ungekuwepo Iringa kwa hizo karne unazozisema wewe basi Iringa ingekuwa imejaa dini ya uislam...lakini kinyume chake uislam Iringa upo sehemu chache sana hasa Iringa mjini nao ulikuzwa na watu wanaoitwa wakonongo watu waliotoka tabora huko....nenda hata huko kalenga kwenyewe ambako ilikuwa ngome ya Mkwawa utakuta uislam haujaenea.....leo hii useme mkwawa aliitwa abdalah hakuna ambaye Iringa atakuelewa.....hata ukoo wake wenyewe asilimia kubwa ni wakristo na si waislam.....kwahiyo hoja yenu haina uhalisia zaidi ya udini ndo maana naipinga na naishangaa
Mack...aende maktaba ya mkoa pale songea kila kitu kipo pale atakuna na mengine yatamfunga mdomo
maana ameandika haya kama anaijua historia ya wangoni
kuna mahali nilimuuliza swali je hawa wazee walikuwa waislamu before/after mfecane war hajanijibu
Bagamoyo,
Wala hilo halina shida kwangu hayo hapo ni majina yangu lakini kwa
utaratibu huwa tunaandika majina matatu.
Ikiwa nitatakiwa kuandika zaidi ya matatu hayo yatatokeza.
Wanangu wote wanayajua majina haya na historia ya wenye majina
hayo - Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Samitungo Mwekapopo.
Unaweza kusoma historia ya babu yangu Salum Abdallah hapo chini:
Mohamed Said: BABU YANGU SALUM ABDALLAH
Mohamed Said: SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDERICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947
Mack...ukweli upi mkuu hao machifu baada ya kunyongwa na kuzikwa walindikwa majina yao ya asili sasa huyu mzee anavyodai Chifu songea haitwi songea mbano bali abduli nani
hao machifu walihojiwa kabla ya kunyongwa na majima yalioandikwa vibaoni ni yale yale waliotumia hawa machifu enzi ya utawala wao na hadi vita ya maji maji
Mkuu nitajie mpigania uhuru mmoja tu ktk kila mkowa wa tz bala.naukitaja nakununulia kinywajiYaani kuna watu wapumbavu sana,hebu tuambieni what 'Islam "as a religion had to do with majimaji war,
Usitaje majina yao kwamba kwa vile ni ya ki arabu,basi hiyo ilikuwa silaha tosha katika mapambano.
Je kabla ya kwenda vitani,watu waliitwa wengine wakakataa,lakini viongozi wa " kiislam"kwa kutumia mahubiri misikitini,wakaweza kuwashawishi waumini,kwamba kupigana vita ni wajibu wao!!!,
Nao wananchi,kwa ushawishi wa dini,wakaingia vitani!??,ni kweli ilitokea hivi??
Kuna watu wanatuaminisha,kwamba Uhuru wa TZ,uliletwa na waislam,kwa sababu shughuri za kudai Uhuru,zilifnyika dar,na dar ni pwani,wenyeji wengi ni Islam,kwahiyo Uhuru uliletwa na waislam,
Nataka niwaulize,mnafikiri,Tanganyika ni Dar pekeyake,harakati nyingi zipo zilizocfanyika nje ya Dar,
Hata mapambano ya kupinga ukoroni,yalifanywa na watemi wengi wa makabira mbali mbali,.
Jamani msipotoshe historia,
Kwanini mnakuwa na obsessation na uislam,
Radical Muslim,wanaamini kwamba wa Islam bora ni wazungu wa USA,na UK,ila hawajijuhi tu,kila jambo zuri,lazima liambatanishwe na u Islam!!?
JWTZ kwa miaka kadhaa iliyopita,imekuwa na wenyeji wengi wa musoma,je ni sahihi kusema na kuweka kwenye historian kwamba, mipaka ya nchi hii,na vita vyote turivyopigana,wamepigana wakurya,wajita,waluo,wakati sisi wazaramo,wamakuwa,na wakwere,tunakura madafu na ngisi!!!??kweli?
Wahaya ni wasomi wa kwanza nchi hii,je ni sahihi,kusema,maendeleo ya kitaaluma yameletwa na wahaya.
Al shababy,boko haram,daesh,wote hawa ni Islam,au Arabs kwa majina,na dini wanayoamini,je 100yrs kutoka Leo,ni sahihi kusema,uislam,ndio dini ambayo imezalisha vikundi vya kigaidi dunia nzima,kwamba dini hiyo inamchango mkubwa sana ktk ugaidi.???
Pale Zenj,takwimu zinaonyesha,vitendo vya kuwatendea watoto vibaya,sodomization,vimekithiri sana,sasa ukitegemea 99%ya wenyeji ni Islam,je ni sahihi kusema,dini inamchango mkubwa,ktk hili,?kama sio,kwamba hawa waharifu wanatenda haya kwa tabia zao chafu,sio dini inayowasukuma,then,hata wale walipigana vita,walisukumwa na uzalendo wao,bila kujari,majina yao ni Joseph,yusufu,Ashraf,Ali,
Islam had nothing to do with their patriotism,
Uislam,upo mpaka sasa,mbona huo uzalendo hatuuoni,Ndani ya siasa(CUF),Somalia,Libya,
Du! Kwanini sasa makabuli yakawa yakiislam?[emoji12] [emoji13] [emoji14]Unalazimishia udini, hao wazee hata madini yenu walikuwa hawayajui, kama huyo mzee kwa ndumba nasikia alikuwa balaa, au uisilamu na ndumba zimo.
Isee[emoji107]sasa mimi mngoni nakueleza haya hakuna cheo cha usultani kwa wangoni
hao wazungu wameandika yakwao