Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Ulimwona wakati akitoroka?Ukweli wa yote alitoroka....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimwona wakati akitoroka?Ukweli wa yote alitoroka....
Sitokushangaa kuuliza hivyo, watanzania wengi ni wavivu wa kujisomea na pia kutafuta mambo. Kila kitu kipo wazi, ukikitafutaUlimwona wakati akitoroka?
Jibu swali. Mbona unaanza kuweweseka. Si umesema unaujua ukweli? Eti ukweli wa yote, ha ha ha.Sitokushangaa kuuliza hivyo, watanzania wengi ni wavivu wa kujisomea na pia kutafuta mambo. Kila kitu kipo wazi, ukikitafuta
Mimi mwenzako ni mhehe kabisa, najua vyema historia ya kabila langu, kama uislam ungekuwepo Iringa kwa hizo karne unazozisema wewe basi Iringa ingekuwa imejaa dini ya uislam...lakini kinyume chake uislam Iringa upo sehemu chache sana hasa Iringa mjini nao ulikuzwa na watu wanaoitwa wakonongo watu waliotoka tabora huko....nenda hata huko kalenga kwenyewe ambako ilikuwa ngome ya Mkwawa utakuta uislam haujaenea.....leo hii useme mkwawa aliitwa abdalah hakuna ambaye Iringa atakuelewa.....hata ukoo wake wenyewe asilimia kubwa ni wakristo na si waislam.....kwahiyo hoja yenu haina uhalisia zaidi ya udini ndo maana naipinga na naishangaaHistoria hujaijua vyema, mimi ni mfuatiliaji wa maandiko tofauti. Upo ushahidi hadi Iringa, mmoja wa watu wa ukoo wa Mkwawa alishathibitisha hilo na kuna kitabu kiliandikwa. Hao waarabu wapo Tanganyika Mkwawa tangu karne ya 17, uje kusema kawajua ukubwani.
Hebu usiongee usichokijua, hata historia hii ya mashuleni iliyofichwa mengi inaeleza
Yuko na mabikira wake, na mito ya pombe.Sawa ni mwislam and then??
Mpyana...Mtoa mada lengo lako nimelifahamu sana wala hakuna utafiti ulioufanya.Haya mambo ya kiimani wakati mwingine yasitawale sana vichwani, ngoja niishie hapo
Mtemikwilla,Sawa ni mwislam and then??
Unalifahamu jina la chifu wa wahehe wa sasaKama wewe unahisi ulifichwa sisi wenzako hayo yote tunayafahamu ndo maana nasema nyie hoja hii umeiambatanisha na udini kuliko uhalisia....hata ushahidi wa mazingira tu utakukatalia....uislam wake ulijulikana na familia zaidi na si watu wake....ndio maana hilo jina abdalah halijulikani....
Mtemikwilla,My consign is nn kimepelekea wewe kutaja uislam? Kwa nn usitaje majina yao kukosewa au kutoandikwa kwa makusudi.
Mack...wangoni hatuna sultan
Mtemi...Wee jamaa naona kabisa udini unakusumbua kwa kiwango cha BRT