Jina lake ni Abdulrauf Songea Mbano siyo Songea Mbano Sultani wa wangoni wakati wa vita vya Majimaji 1905 - 1907

Na wamshukuru sana Mwl Nyerere kwa kutaifisha shule za wakristu... Yaani asingetaifisha, education gap kati ya waislamu na wakristu lingekuwa kubwa sana....

Akina JK, Salim Ahmed Salim, Makamba na wengine, ni products za seminari...
umemsahau lipumba
 
Mkuu sio hivyo unavyofikia,historia ya maarufu walioipigania nchi lazima iwekwe wazi ili vizazi vijavyo wajue nini kimetokea wakati wa utawala wa kikoloni,..

Mtoto wangu wa miaka saba alikuwa anasoma nchi moja ya ulaya,siku moja katika maongezi ya simu akanambia "baba leo tumesoma historia ya zamani ya wafalme na vitu walivyofanya,mfano majenzi ya makanisa vita walivyopigana nk " ....yani alikusudia hiyo nchi anayosoma,sasa swali likaja akataka nimuelezee historia ya wafalme wetu Tanzania na mambo waliyofanya,....kwa ukweli nilishindwa,nilijaribu kumuelezzea kidogo kuhusu vita vya maji maji sio zaidi..

Hapa Tanzania historia nyingi za machifu hazipendwi kuongelewa au kufundishwa shuleni kwasababu za Kidini au Kikabila,watawala wanaona wakianza kufundisha watakuwa wanakuza baadhi ya makabila au watazikuza baadhi ya dini,...Lakini kwa kweli Tanzania ina historia nzuri sana ya machifu wake,...

Kule Marekani na hata nchi nyengine za ulaya wanaamini kuwa wafrika wamezaliwa kuwa watumwa,wafrika walikuwa ni watu wanaozagaa zagaa porini kama wanyama,...

Kama historia yetu hatujailezea sisi wenyewe nani ataielezea nani atajua kama na sisi tulikuwa na wafalme wenye nguvu walioweza kupigana na mataifa makubwa makubwa..

mi naungana na serikali maana nidhan ya mwafrika na mzungu ni tofauti sana. mwafrika anatafuta kujua kitu ili akitoe kasoro au akitukuze wakat wazungu wao wanatafuta ili wajifunze na kwenda mbele. so kabla hujaweka siri au jambo lolote muhim kwa jamii lazima upime kwanza tabia za watu wako. so watu wanadeal na tabia za asili za watu wao. na nikuambie tu hata hizo historia za wazungu nazenyewe kwa sehem kubwa wamezitengeneza ili ziwakuze wao na si vinginevyo
 
Mwinyikungu,
Ahsante kwa maelezo yako.

Mimi nimeeleza ukweli katika historia kuwa Mkwawa alikuwa na jina lingine
nalo ni Abdallah na alikuwa kaijua kuandika na kusoma kwa irabu za Kiarabu
na alikuwa na urafiki mkubwa na Rumaliza.

Rumaliza jina lake halisi ni Muhammad bin Khalfan bin Khamis al-Barwani.

Nnilijaliwa kukutana na kitukuu cha Rumaliza, Mohamed Said Dubai mwaka
wa 1999 na anajua mengi katika historia ya babu yake mkuu na Mkwawa.

Vitabu vinamwandika kama ''Chief,'' na chief tafasiri yake ni sultani lakini iwe
iwavyo hayo ni majina na vyeo, ukweli wa historia kuhusu maisha yake ndiyo
muhimu.

Tusitishike na historia hizi ambazo wako ambao kwa sababu zao hawakupenda
zijulikane.
Sheikh Mohamed Said endelea kuwapa daawa
 
Musumeno,
Tuna dhima kubwa ya kuyaeleza yale ambayo hayajulikani.

Kwa kiasi kikubwa tumefanikiwa vyema.

Leo tuna historia mpya ya TANU na uhuru wa Tanganyika na kila aliyeshiriki kapewa nafasi yake.

Alhamdulillah.
 
mi naungana na serikali maana nidhan ya mwafrika na mzungu ni tofauti sana. mwafrika anatafuta kujua kitu ili akitoe kasoro au akitukuze wakat wazungu wao wanatafuta ili wajifunze na kwenda mbele. so kabla hujaweka siri au jambo lolote muhim kwa jamii lazima upime kwanza tabia za watu wako. so watu wanadeal na tabia za asili za watu wao. na nikuambie tu hata hizo historia za wazungu nazenyewe kwa sehem kubwa wamezitengeneza ili ziwakuze wao na si vinginevyo
Ni mfumo tu Mkuu,ni sawa wewe kukubaliana na serikali hakuna kosa lolote hapo,lakini nionavyo mimi kama mtu hajui historia yake wapi alikotokea,historia ya nchi yake nani wameigomboa,waliopita wamefanya nini kujenga nchi , ni sawa na mti usiokuwa na mizizi..

Kwa hiyo unataka historia ya Tanzania ianzie kwa Nyerere!!??kama ni hivyo basi utakuwa huwatendei haki hao waliojitolea roho zao kwa kuipigania TZ
 
mpk leo zanzibar wanatoa shule za mwsho 6/7 ktk top10 za shule zilizofanya vibaya.kusini ndo usiseme huko...21st C bado una na blaming game,hizo hazitawafikisha popote take initiatives...wacha porojo za kkoo huu co wakati wake.
Zanzibar Elimu yake ilikuwa inafata muhula wa Oxford,vitabu,mitihani vilikuwa vinatoka Uingereza,walimu wa mwanzo wa chuo kikuu cha daresalam walikuwa Wazanzibari...,fanya utafiti kabla ya kuandika kitu usichokijua....,

Mungano wa Tanganyika na Zanzibar na ujuha wa Wazanzibari kukubali kila kitu walichoambiwa na Nyerere ndio Zanzibar imefikia hapo ilipo kielimu,kiuchumi,kimazingira nk

Uaminifu wao wa kumuamini sana Nyerere zimewaponza sasa mtu kama wewe usijua hata historia ya Zanzibar unaweza kukaa na kuwananga wazanzibar..,

Time will come Time will tell...
 
wacha mboyoyo nyingi 21C,blaming game hazitawafikisha chochote.unazungumzia wahadhir udsm wa kitivo gani?wataje.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Mzee wangu Mohammed SAID wakati mwengine ni vizuri kuandika jambo bila kuweka mrengo wowote unaouamini wewe,hii mada ingelikuwa nzuri sana kama usingeingiza hiki kipengele kwamba hawa machifu walikuwa waislam au walikuwa kinanani!ktk ukoo wangu ninao baba zangu,babu zangu na wadogo zangu Abdallah,Salim pia wadogo zangu Halima,Iddi na Shaban ila wote hawa ni wakristo.my point is,kuitwa kwao majina hayo hakuwafanyi wao kuwa waislam na naamini hata wewe kulithibitisha hilo huwezi may be ilikuwa trick ya wao kupata msaada kutoka kwa hao waarabu ndio maana wakajibadilishia hayo majina ili kuendana nao ninani anayejua?hao machifu ndiyo waliokuwa wanaongoza watu kuabudu miti huwezi kututhibitishia hapa kwamba Mkwawa kuna siku amehudhuria madrassa kujifunza dini za kuja,obviously huu ni uongo mkubwa sana!
Ukweli ni huo Machifu walikuwa waislam unataka muandishi adanganye??!wapigania uhuru wa Tanganyika walikuwa waislam unataka mwandishi aseme ukweli!!?,wakristo walikuwa hawana uwezo wala ari ya kupigana na Mzungu,walikuwa wakimuona mzungu kama wanavyomuona Yesu,waislam wao walimuona mzungu Kafiri na ndio maana wakaanza harakati za kumuondoa mzungu Tanganyika...

Kule Zanzibar wao waliwaita warabu ili waje wawasaidi kumuondoa Mreno,dini ya Kiisalm ndio ilikuwa chanzo cha harakati za kuwaondoa Makafiri,hata mapinduzi ya Zanzibar,ndio ndio chanzo cha mapinduzi kumuondoa Mwarabu na dini ya Kiislam ndio ilikuwa chachu ya mapinduzi ya Zanzibar....

Unakumbuka msemo wa Nyerere "Kama ningelikuwa na uwezo hivi visiwa vya Zanzibar ningelivitupa mbali sana!"

Unakumbuka maneno ya Lukuvi "Zanzibar ikiwachiwa ijitawala,warabu watarudi bla bla bla ",,,,,Udini unatawala Tanzania,kosa lilitokea na Watanzania waislam kuwamini kupita kiasi ndugu zao watanzania wakrito.........

Time alone time will tell ....
 
wacha mboyoyo nyingi 21C,blaming game hazitawafikisha chochote.unazungumzia wahadhir udsm wa kitivo gani?wataje.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Hii ni karne ya" Information technology" ingia katika mtandao tafuta historia ya chuo kikuu cha Daresalam utapata jibu,usiwe mvivu wa kufanya utafiti...usitegemee kila kitu kutoka kwangu naweza kukudanganya,Mkuu
 
hizo porojo zako hakuna nimesoma hapo..huo uzanzibar unaokusumbua ndio maana nikakwambia weka hiyo list yako.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
hizo porojo zako hakuna nimesoma hapo..huo uzanzibar unaokusumbua ndio maana nikakwambia weka hiyo list yako.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Mkuu "still" ukitaka kujua chuo kikuu cha daresalam kiliassisiwa mwaka gani,nani walikuwa maproffesa wa mwanzo na kadhalika ......jimwage katika mtandao njoo na jibu la kupinda maneno yangu kuwa wazanzibari walikuwa moja katika maprofesa waliokuwa wakisomesha chuo kikuu cha Deresalam

Porojo sio porojo,come with fact against what I said....
 
kumbe unasema mmoja?wakati juu ulisema walikuwa wazanzibar!
kuwa na mzanzibar mmoja haiondoi ukweli kuwa zanzibar kuna vilaz.a ambao kila pepa shule 6/7 kati ya 10 za mwisho zinatoka zenj.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
kumbe unasema mmoja?wakati juu ulisema walikuwa wazanzibar!
kuwa na mzanzibar mmoja haiondoi ukweli kuwa zanzibar kuna vilaz.a ambao kila pepa shule 6/7 kati ya 10 za mwisho zinatoka zenj.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Noana hata kiswahili kina kupiga chenga nimesema "moja kati ya"....maana yake " one among them" hiyo haimaanishi kuwa nimesema kuwa professa alikuwa mmoja...,Dah!! hatari😀😀
 
kuwa mmoja wa maprof hiyo haipelekei zanzibar kutokuwa ya mwisho kitaifa!

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
...Kwa sasa inawezekana iko mwisho,lakini haya ninayoandika najaribu kukufahamisha vipi Zanzibar ilikuwa hapo zama za kale,lakini naona mwenzangu kiswahili ni lugha yako ya pili,tunashindwa kufahamiana..
 
unalazimisha nikuelewe unavyotaka sio? fanya mpango muitoe zanzibar kwenye mkia wacha porojo.
 
Hamna kulazimishana kuna kuelewana na kuelewa nini najaribu kukufahamisha...,Zanzibar itatoka kwenye mkia wakati ukifika,wakati wazanzibari watakapojielewa na watakapowaelewa maswahiba wao wa Tanganyika ni watu wa aina gani na wanatakiwa wa "deal" nao vipi
 
kwahiyo zanzibar "hawajielewi" aka 'makasuku'???
 
Back
Top Bottom