Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

Jina langu la kinyumbani linaanzia na herufi C.Nikajiita Cee ,nikaona limekaa kike mnoo nikaligeuza nyuma eec hiyo C nikashindwa kuigeuza nikaweka X ikawa eeX.
 
Fala yule anajua boli hatari.
Mie ananifurahiahaga tuu pale ligi imebakiza mechi 12 iishe alafu yeye yupo nafasi ya pili.
Ebwana wee....atapiga game kumi au kumi na moja yeyey anatoa vipigo tuu hadi raha.


Hahahaha


Mkuu yule amezaliwa kuadhibu watu yaani anajua boli mpaka anakera.
 
Nadhani sihitaji kujieleza
 
Kwa walioifuatilia hii tamthiliya watakuwa wanawakumbuka hawa waigizaji! Enzo na Bonnie.
Enzo alikuwa anaumwa na hawezi kupona hivyo alikata tamaa!

Alimpenda sana Bonnie lakini ndiyo hivyo tena hawezi kupona! Siku anamuita Bonnie na kumueleza kuhusu hisia zake na ule mziki wa nyuma (background) acha wewe! Mtoto mwenyewe aliamua kutafuta tiba! Alinifanya niutafute ule wimbo!

Huyu hapa mwamba halafu msela!
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…