Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Mimi ni mjomba wake na mshamba_mwingine , nakaribia kula pensheni... Sikuwahi kuoa ujanani, kutwa naruka majoka, natafuta kabinti kanisitiri, karithi na tuvituvituZ tudogotudogo.Aroo nyie gen Z punguzeni speed basi
Eeh wanawake mna raha sana yaani upo jobless lakini bado watafuta mpenzi.Nilikuwa single nilikuwa natafuta mpenzi na kazi.
Mwandiko sio wa sugardady huu😅😅hilo gari linipite mbali tu sio la mshahara hili ni la masiharaMimi ni mjomba wake na mshamba_mwingine , nakaribia kula pensheni... Sikuwahi kuoa ujanani, kutwa naruka majoka, natafuta kabinti kanisitiri, karithi na tuvituvituZ tudogotudogo.
Wacha dharau, utapishana na gari la mshahara ohooo!
We haya! 😊
Ndiyo😹😹😹 kumbe alimaanisha hivyo?!!
EeembeeKibo show Moja mnama
Ahaaaa .ila kama huna kazi hupati hata.wanaume hawataki majukumuEeh wanawake mna raha sana yaani upo jobless lakini bado watafuta mpenzi.
Sie ukiwa jobless ata kibamia hakisimami
Uko wapi....Evelyn Salt....Chumvi
Au basi
Hii comment yake inanichekeshaga mno😁😁Uko wapi....
Uko wapi.....Posts zenyewe 13, halafu unakuja uliza watu maswali kama haya?
Uko wapi.....
We mwanamke ujue nakupenda yaan hujui tu,,,ila usiniulize niko wapi🤣🤣Uko wapi.....
Nikajua ni kikolea mkuu wanguNilishatoa mkuu jina langu hilo ni halisi kabisa limekosa herufi mbili tu apo .
Ni jina lenye asili ya Korea, inasemekana ni jina la dr alimsaidia bi mkubwa siku nazaliwa , akaona anipe jina hilo kama tu heshima.Nikajua ni kikolea mkuu wangu
Itabidi uende korea,,ntachangia nauliNi jina lenye asili ya Korea, inasemekana ni jina la dr alimsaidia bi mkubwa siku nazaliwa , akaona anipe jina hilo kama tu heshima.
Pokea simu.....Kaunta ya juu natazama boli...goma half time sasa