Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

MjukuuWaBabu✓ hii ipo simple Sana.. Babu amenisupport ktk malezi, elimu na busara zake zimenijenga haswaaa... So nadumisha chemistry kwa Kujiita MjukuuWaBabu ktk social media zote.
Hakika babu ashukuriwe [emoji123]
 
GENTAMYCINE ( ANTIBIOUTIQUE ) ni Jina nililoamua Kutumia Kuwakilisha Dawa Kuu ya Kutibu Magonjwa Sugu ( Fangasi ) za Mwilini na Ubongoni ambazo huwafanya baadhi ya Watu kuwa Wapumbavu ( Mapopoma ) Waliotukuka hivyo nawatibu kwa Kuwanyoosha ili wawe na Akili Kubwa na Kiukweli Dawa ya GENTAMYCINE imetibu Mipopoma mingi hapa na hata Kwingineko.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Hon - hapa nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda Sana nijekuwa Mbunge au hakimu so Hon nikifupi cha Honourable Yani mheshimiwa
Nkundwe - ni jina nililopewa na Mama yangu mkubwa nilipozaliwa kwahyo nikawa na jina lingine na hili Nkundwe ni jina lenye asili ya kinyakyusa uko Mbeya maana yake Mpendwa.

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilijiita CHAKULA KIBAYA kwasababu wakati nimeamua rasmi kuwa member ninayetambulika jf nilikuwa kwenye mgahawa niliagiza chakula wakaniletea wali mbaya Sana ambao sijawahi kula tangu nianze kujielewa,ndipo nikaona nitumie username hiyo ili iwe kumbukumbu.
Asante[emoji120]
 
Duh [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mh mpendwa [emoji123]
 
[emoji16] aka simba lialia.
 
am 4 real
 
Ni aka nilipewa nikiwa advance na washkaji. jina likapaa zaidi nikiwa chuo.,kuanzia mwny nyumba ,hostel mates wakawa wananijua kwa jina hilo. nilikuwa napenda kuna a girl wa next door basi utakuta anapita kwwny corridor anaita hv kimadaha
"sparta"
mpk leo wadada wa chuo kwa simu wakinipigia simu huniita kwanza Sparta then na lisauti langu huwa naiitikia namna fulani hivi.

ila huwa sielewi yule mwamba aliona nn akaniita Sparta ingali me ni mpole sana huwezi nidhania kama ni mpole ukisikia jina.
anyways nikajipa jina hilo Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…