Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Safi sana mkuu.
 
Lina maana tusiwacheke washamba kwani wote tumeanza kwenye sifuri.....
Nimejiita hivo kwasababu naamini mimi ni mshamba wa vingi, hata hivyo nina umri mdogo[emoji23]
Kweli mkuu umetisha sana
Unakua mshamba kwa sekunde Kisha unakua professional [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…