Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

MjukuuWaBabu✓ hii ipo simple Sana.. Babu amenisupport ktk malezi, elimu na busara zake zimenijenga haswaaa... So nadumisha chemistry kwa Kujiita MjukuuWaBabu ktk social media zote.
 
Hello members!! Nimekua nikisoma id za members kwa kweli zingine zinafurahisha, zinahuzunisha na kusisimua pia.
Nimeona kuanzia uzi huu maridhawa kabisa mwana jamii pita hapa tueleze maana na kwa Nini umejiita hivyo??

Naanza Mimi NALIA NGWENA
Hilo ni jina ambalo nilijiita baada ya kupita jkt, ipo hivi nalia ngwena ni wimbo ambao ulikua ukiimbwa ulikua na mateso makubwa ndani yake tunaita maovyo ovyo,
Ilifikia hatua huu wimbo tuliimba huku tunalia.

Maana afande aliyekuwa akiimbisha huu wimbo alitoa na mazoezi makali humo humo ndani yake.

Kiukweli katika vitu ambavyo sitoweza kusahau ni huu wimbo na ndiyo maana nikajiita NALIA NGWENA

Karibuni wakuu.
Ndo maana yake au siyo?

Mrembo Demi Anaelewa maana ya jina ninalotumia. Akielewa yeye inatosha🤣🤪😃
 
Back
Top Bottom