Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Katika kila kitu unachoonekana kufeli, basi anza upya ukiwa mwenye ujuzi na ubora zaidi na hakika utafanikiwa. As long as unakimaanisha unachokifanya, hakuna kitakachokushinda. Usikate tamaa.

Nikajiita Restart. Hiyo Dr ni baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu.
Great
 
Carlos The Jackal..(Ramires Sanchez )..Ni Mvenezuela alozaliwa mwaka 1949 , aliyeamua kua Gaidi, akaisumbua Dunia Kwa miaka zaidi ya 10 .


Matukio yake ni ya Kusisimua sana.
Screenshot_20230405_122925.jpg
 
Back
Top Bottom