Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Jina lako JF (ID) ina maana gani na kwanini umejiita?

Wewe ni msanii wa ngoma au wa ngonjera? ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
Hahahah
Mimi msanii wa kuyapaka rangi mawazo ya watu yaonekane kwa uzuri zaidi๐Ÿคฃ
 
King yedidiah
King- mfalme
Yedidiah; Rafiki wa Mungu.. ni jina alilopopewa suleiman na nabii nathan ikiwa ni ujumbe kutoka kwa Mungu baada ya Mungu kumsamehe daudi dhambi ya kuzini na mke wa uria mhiti.
 
Back
Top Bottom