RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
π Kwa sababu sina hela.Kwa Nini umejiita kijana masikini
Hili ni jina langu la kuzaliwa kabisaa... Lakini pia lilichukulia kutoka kwa rafiki wa mzee wangu ambae walikuwa wanapambana wote kwa bahati mbaya wakamla kichwaπ₯π₯π₯Njoo mkuu
πππgru have been compromised the retirement is officially over assemble the mega minions Gily GruGru - the Villain, ila Gily is short for my name. What do you think my name is?
View attachment 3427366
Dosho ni jina la ukoo, ni jina la nne kwa mfuatano wa majina yanguWhy dosho 12
Ohoo sawa mkuu japo humo mlimo na viingereza mmenitupa mkono.Dosho ni jina la ukoo, ni jina la nne kwa mfuatano wa majina yangu
Na 12 ni 12 nidanas kwenye teaching za buddha ikielezea links za dependent origination au cylcle za birth and reberth
Pia ni namba nzuri hata kwenye spiritual ikimaanisha Enlightment/completness ππ Harmful na Kijana Masikini hiyo ndo maana ya dosho12
Download dictionary π πOhoo sawa mkuu japo humo mlimo na viingereza mmenitupa mkono.
πππ ninae bwana Twasleta huwa ananitoa tongotongo.Download dictionary π π
Ndo yupi huyo πππππ ninae bwana Twasleta huwa ananitoa tongotongo.
Ndo yupi huyo ππ
Haya bwana kwa hyo bwana trasleta ameshakupa muongozo ππ
Hapana kwa hapo nimeungaunga nimepata uelewa kiasi kwahiyo sioni sababu ya kumsubua.Haya bwana kwa hyo bwana trasleta ameshakupa muongozo ππ
π mwamba wa history from UDSM SumbaiFrom my Trible...
From my lecturer aliyenipiga sup za kutosha
Alinitesa mpuusi
πππππ atatokea tumuombee na tuimbe yesu nibebe.Itakuwaπ , asipotokea mpaka saa sita tutahitimisha kuwa yamemtokea kama yaliyomkuta mbosso khanππ