Mwambie huyo ex darling wangu, hajui kuwa ubora unaongezeka na umri! Hapa ni amka na BBC hatari, lala na CNN...
Nipo hapa mkuu njoo
Kama Siamini amini hivi
Mimi au nani? Fungukaaaa
Ingawa Moyoni Mwangu Umejaa na kuiziba Nafasi Yote lakini nahisi kwahaya ya nne bila matee na kulala usingizi wa mang'amu mang'am... Nadhani ni wakati wa kuutafuta ufutio maana naona vikumbo vimezidi humu
Hahahaaaa!! Haikulala ila umepungua kiwango na ladha.
Adhabu ya kaburi aijuaye......,kitanda usicholalia.....malizia mama hujui tu utamu wa laaziz wangu na utuwache tulale......lol
Acheni Kuogopa Vivuli Vyenu nyie Alaa
Wacha weee,......ama kweli hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe.
Naona uzi umeanza kundaliwa toka July 22....lol!!
Ndiyo Kipi Hicho Kipengele?