Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Mwambie huyo ex darling wangu, hajui kuwa ubora unaongezeka na umri! Hapa ni amka na BBC hatari, lala na CNN...

Bebi halafu BBC ya leo noma kila nikikumbuka acha tu huku kazi hazifanyiki nakuja tena kwa breaking news ....
 
Ingawa Moyoni Mwangu Umejaa na kuiziba Nafasi Yote lakini nahisi kwahaya ya nne bila matee na kulala usingizi wa mang'amu mang'am... Nadhani ni wakati wa kuutafuta ufutio maana naona vikumbo vimezidi humu
 
Mweeeeh kumbe ulikuwa moto wa mabua!!
 
Hahahaaaa!! Haikulala ila umepungua kiwango na ladha.

Adhabu ya kaburi aijuaye......,kitanda usicholalia.....malizia mama hujui tu utamu wa laaziz wangu na utuwache tulale......lol
 
Huyu mzee Popo bado ile ID yake kuu imepigwa ban tu? maana anasumbua kweli na hizi ID vishkwambi, kila siku mpya:biggrin1:

Acheni Kuogopa Vivuli Vyenu nyie Alaa
 
Jamani ibra hata hujiongezi jamani? Pesa,dolari,fedha,hela,money....

nimeacha Kununua Mapenzi Kitambo tu na Pia Sina uhakika kuwa penzi lako kulipata mpaka niligharamie. Shem wangu J lo Aliwahi kuniambia Penzi hali ghalamiwi
 
Back
Top Bottom