Sikujua shemeji
Hakuna kitu kama hicho wewe
Mpaka nione mwisho wake
Mwisho wa nini??
Atoto kwa mikausho!! Unampa mtu makavu unaumiza dhamiri yake njema kwako.
Sijawqhi kushindwa Atoto
Njoo Pm my d
Ulipoiacha Nguo Yako Jana Usiku
Ile yenye vikanda huwa sishonagi sema nimeihifadhi vizuri jumapili tena ukija njoo chukue
au unataka na nyingine?