Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Oooh okey, ujue nilishasahau kama wewe fundi mshona nguo, vipi tayari ushaishona?

Ile yenye vikanda huwa sishonagi sema nimeihifadhi vizuri jumapili tena ukija njoo chukue
 
Mkuu Ibra87 usife moyo *penye nia pana njia* Nimekaa sana kigamboni na ninapapenda sana.Ni moja ya maeneo mazuri ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom