Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Yaani ole wako unipeperushie ndege wangu maana wewe nakujua kwa fitna.

Atoto Uhitaji Wangu kwako ni Zaidi Ya Pumzi Za Uhai Wangu... Natamani Nilione tabasamu lako, pls hembu tamka Hapa Wasikie
 
Blaza kama kuna mwenzio tunamratibia safari ya msitu wa pande... hebu usidandie treni kwa mbele mkuu.
 
Hivi wewe Eli79 aneno kama haya hayakuwepo kwenye oblangata yako?? Mbona hukuwahi nitamkia?
 
Last edited by a moderator:
Blaza kama kuna mwenzio tunamratibia safari ya msitu wa pande... hebu usidandie treni kwa mbele mkuu.

Kwa Atoto Nipo tayar Kupelekwa Hata Amazon lakini Sio kumkosa yeye
 
ahaaaa loh kwa wale wapenda maneno kama haya wakashindwa kulala wewe ndo kiboko yako. Kila la heri usisahau na ukawa kuipa nafasi hapo october.
 
Ccm Ipo Ndani Ya Damu Yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…