Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za jioni wana jamii Naju
a Wapo Wengi Wanao Pigana Vikumbo Huko Pm Kukuwania Wewe... Najua Umeshatamkiwa Sana neno nakupenda na Bado Unaendelea Kumtakiwa Kila Siku Iendayo Kwa Mungu. Wapo Wanao Maanisha Kweli na Wengine Ni Wale Wanao Kujaribu Ili Kukujua Msimamo Wako Ukoje. Dear Atoto sikufundishi Jinsi Ya Kuishi na Wala Sikuchagulii Mtu wa Kua nae bali Ninachotaka kusema Hapa ni Kile Ninacho Jisikia Toka katika Moyo, Roho na Akili Yangu. Sitaki Kusema Kuwa Hata Mimi Nakupenda na Wala Sitaki Kukataa Kuwa Sikupendi Bali Ninachotaka Kuzungumzia Hapa Ni Kipi Moyo na Nafsi Yangu vinaniambia... Dear Atoto Jina Lako Limeandikwa Katika Moyo na Roho Yangu, jina lako limewekwa na Kufichwa Katikati Ya Moyo Na Roho Yangu... Natamani Kuiona Sura Yako na Natamani Kuisikia Sauti, natamani Kukushika mkono na Natamani Kukwambia Kitu Muhimu, Kitu Ambacho Kitakufanya Utambue Kuwa Wewe ni Mtu Muhimu kwa Watu Muhimu.... Sitaki Kusema Nakupenda Kwa Kuwa Yupo MANGA ML na Sitaki Kusema Sikupendi Kwa Kuwa Yupo Mkuu ELI79. Ninachotaka Kukisema Hapa na Kukufikishia Wewe Huu Ujumbe Ni Kwamba Ishi Ukiamini kwamba wewe ni bora Kuliko Mwingine na Una Maisha Yako Tofauti Na Haya Unayoishi Humu ndani... Natambua Kuna Mengi ya Kukukwaza na Kukuuzi Huko Pm Pia Natambua Kuwa huwa Unaumizwa na Kukerwa na Baadhi Ya Kauli Za WanaJf Wanaokufuata Pm Hasa Pale Unapowaambia Ukweli kuhusu Misimamo Yako.... Dear Atoto Naandika Ujumbe Huu Nikiwa Naamini na Kutambua Kuwa Bila kukuona Wewe Na Michango Yako Katika Mada husika na Ucheshi Wako kwa Baadhi Ya Watu, Basi Usingeniona Ibra87 Humu ndani.. Kusema Ukweli Toka Ndani Ya Moyo Wangu na Akili Yangu Ni Kwamba Tokea Siku Ya Kwanza Kukuona Humu Jf Nililiandika Jina Lako Katika Moyo,roho na Akili Yangu... Kama Dada,mama,ndugu, rafiki na Mtu Muhimu sana Katika Upande Wangu. Najua Wengi Mtajiuliza na Wengine Mtasema Lakini Daima Huo ndiyo Ukweli Wangu....
Ahsanteni kwa kunisoma
na pia naomba kuwasilisha
Nilijua tu Diamond atakuwa na a/c JF.
Blaza kama kuna mwenzio tunamratibia safari ya msitu wa pande... hebu usidandie treni kwa mbele mkuu.
nahisi kama nitakukosa kwa fitina Za Watu
Kwa Atoto Nipo tayar Kupelekwa Hata Amazon lakini Sio kumkosa yeye
Nataka Nikupeleke Uziguani Atoto Ukawaone ndugu Zangu
Hahaaa... dogo ni hatari!!
Alafu unamuita "dogo" ili?
Hiyo engine haiwezi. Bado mdogo huyu..
Hahahaaaaa!! Paulo bwana, hiyo mistari ni mizito mno diamond haiwezi, hizo level za King Kiba bwana.