Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Ukimkana MANGA ML na ELI79 Hapa hapa basi Nakutie 2m

Uwiiiiiii we mwana weeeh!! Kwanini niwakane? cute b uko wapi mdogo wangu?? Nyakati kama hizi hutakiwa kuwa mbali ati?
 
Last edited by a moderator:
Mlipotea kweli na Eli79 sijui ndio ibada hizo?
Mweee kwenye mkesha mbona naenda Peke angu siku hizi. Brod darlin Eli79 nimemshindwa kwa kweli, analala na BBC, anashinda na CNN. .. Yani kakamatika haswaa kwa yule mnyaki. Ila nataka nianze kumfanyia maombi upya, atarudi tu kwenye mikesha teh
 
Habu kazana maana hata mie simuelewi siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
duh! something is about to happen ila mtu anapigwa danadana.
Ngoja niendelee zangu kupitia nyuzi za 2009....
 
mmh!!,huo mwandiko wa mleta mbona naufananisha na jamaa ambaye namfahamu. jMali Mussolin5 .

Mwandiko kama wa konda ehhh?
Tena wa vile vipanya vya maramba mawili.
Unainama hadi kalio linagusa paa la gari.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…