Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hahaha. Usiwaze boss. PM nimewahi wasumbua wanamama wawili tu special. Atoto simuwezi.
Dooo so am not special in anyway!! Mwe mwe mwe mweeeeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha. Usiwaze boss. PM nimewahi wasumbua wanamama wawili tu special. Atoto simuwezi.
Hahaha. Acha kufuru Atoto.
Mich yeeeeeew too, me Nipo kipenziMama ulipotelea wapi? Mekumithi.
Mweee kwenye mkesha mbona naenda Peke angu siku hizi. Brod darlin Eli79 nimemshindwa kwa kweli, analala na BBC, anashinda na CNN. .. Yani kakamatika haswaa kwa yule mnyaki. Ila nataka nianze kumfanyia maombi upya, atarudi tu kwenye mikesha teh
Eeeh ndo uje tu tuungane kwenye maombiHabu kazana maana hata mie simuelewi siku hizi.
...Mtoa Mada unataka kuniambia MOYO wako haupitishi DAMU kwa sasa,..unapitisha Atoto tu..hii kali.
umekatika wenyewe au umekatwa?
Eeeh ndo uje tu tuungane kwenye maombi
umaarufu JF unatafutwa kwa kasi kweli, teh!