Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Sasa jamani ibra87 ndio hakuna hata aya kwenye hii barua yako!!
 
Last edited by a moderator:
Manga ML njoo huku faster,something really terrible is likely to happen,alipo atoto mimi nipo,nimejitolea kukulindia bure huyo girlfriend wako mkuu japo anapenda sana kuchepuka mimi ndo kiboko yake!!!
 
Yaani usingetokea kwenye uzi huu ningelala uchi leo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa jamani ibra87 ndio hakuna hata aya kwenye hii barua yako!!

Lakini c umeelewa Kilichoandikwa? Hembu tamka Nijue Usitafute Vijisababu Bibie
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kumbe..... sasa baba mdogo wa hiyari nina maswali ka C.I.A but naomba kitu kimoja mi nisisikie mnaitana dia or hubby au la sivyo ntamuambia everlenk

Sasa nitamuitaje jamani? Mengine hataaaa hayanogi, nishazoea mie
 
Last edited by a moderator:
Hebu nikumbushe ulikuwa unasema?

Hisia Zangu kwako ni Zaidi Ya Penzi La Diamond Kwa Zarina na Tiffa... Nina mahaba mazito Juu Yako Kama wewe Unavyoipenda Ccm. Na Sitaacha kusema Popote pale Kuwa Jina Lako Nimeliandika Moyoni Mwangu na wakulifuta Hakuna Zaidi Ya Kifo..
 
Back
Top Bottom