Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Atoto Weekend ndiyo yaanza Hvyo... Njoo Kigamboni basi nikupeleke south beach au sunrise
Yaani watu wa dar huwa mnadhani kila mtu yupo dar!! Mie hiyo dar naisikia tu mwenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atoto Weekend ndiyo yaanza Hvyo... Njoo Kigamboni basi nikupeleke south beach au sunrise
Yaani watu wa dar huwa mnadhani kila mtu yupo dar!! Mie hiyo dar naisikia tu mwenzio.
Mmmmmmmmmmh...upo wapi??? inlaw..
Nipo tanganyika inlaw.
Asipokuamini hapa mwambie uko kwa Obama ......lol
Sasa Wewe Uko wap? Hata kama Upo Sumbawanga Sema Mrembo nikutumie Bawa Muda Huu
Hiyo Tanganyika Ipo Mkoa gani? Au uko same Milimani huko unalima?
Sijui wewe Una Matege au makengeza? Mbona hutaki kusema ulipo, kampeni Zinaanza Jumapili nataka tushinde wote tuamke wote
Kumbe!!!! Mmeshakuwa wapendanao tena wakati ushabwaga manyanga...... atoto embu niambie nilivyogeuka nyuma umekubali kwenda kwa free p?
Ipo Siku Utakuja Kwangu Mwenyewe Bila Hata Kuonyeshwa
Itabidi Nikufikirie Maana Usijekua Umetegwa.. Upareni na Usukumani ndiyo jadi yao
Nampenda sana huyu shem wangu mpyaa...