Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

Jina lako Limeandikwa Moyoni Mwangu Atoto

atoto weeeeeeeeeee!!! Uko wapi njoo huku, shem darling Manga ML upooooooooo? Embu njoo huku, my hubby Eli79 mimi na wewe hatudhuriani embu njoo huku uone chimbo lako la zaman najua viparticles vya upendo vipo bado, kyutiiiiii biiiiiiiiiiiii njoo mama uone huku nduguyo ametangaziwa nia,njoo cute b mama.....

Shem darling kuowa wazuri ndo shida yake hii atajichunga mwenyewe pulesha mie sina uzuri kumbe ni mdogo wangu wa kwetu kumoja
 
Last edited by a moderator:
Shem darling kuowa wazuri ndo shida yake hii atajichunga mwenyewe pulesha mie sina uzuri kumbe ni mdogo wangu wa kwetu kumoja

Shem darling poleee bana kumbe ndugu ila wewe ndo mnene wake ujanja hana....
 
Mimi tena waache tu watanue account mambo hayo atoto alisha achaga puresha sina

Usijali mume wangu yo the one and only, you know that i love only you and i'll be with only you.
 
Last edited by a moderator:
Shem darling kuowa wazuri ndo shida yake hii atajichunga mwenyewe pulesha mie sina uzuri kumbe ni mdogo wangu wa kwetu kumoja

Kumbe Hili Jina Manga Unamaanisha pale Karibu na Mkata ama nini mkuu?
 
Back
Top Bottom