Karibu tenaAisee
Haha!huyu babu msanii sana huyu!siendi huko ng'odoo!kizee hiki sikitaki miyeFanya haraka naona Raynavero kashanyosha mikono tayari, Kwa majawaliwa kashafika au bado?
35? Hapo tafuta mpunga tu utaowa vijana wapo maisha yanawasumbua mtaani wanatafuta akina mama wawahifadhiHahaahaaaa@Asprin hahahaaaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]acha tu!
Mzee mwenziwe labda awe kama mzee mengii!!kwa sasa plan yangu mpk 35 ndo nianze kusaka mwenza !!!!acha niwe single mama kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh!maana ntapata radhii!!bora niwe bimdogoo!!hahahah....eti umeshasanda [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina la kuongeza[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Ye alijua kwa vile mi mdogo kwake atanibomoa tu kibao kikamgeukia[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kurya staili balaa sana huyo alikuwa mpole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwacheAisee
Hahaaa!!!eti eeeehhh!Huyo ni ndege wangu mwenyewe, sihitaji manati
Hujawahi bembelezwa na Babu wewe.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha!huyu babu msanii sana huyu!siendi huko ng'odoo!kizee hiki sikitaki miye
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaaa....Haha!huyu babu msanii sana huyu!siendi huko ng'odoo!kizee hiki sikitaki miye
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa!wamuunga mkono huyu tapelii!!Ebu muache Babu afurahie maini yake yaliyonona japo kazeeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante sana mkuu, kwema lakini?Karibu tena
Mi ngumi kupiga siwezi,ila najua kupiga vibao ,nikikiachia hehehe,ngumi kupiga najua za hivyo hivyo ndio nataka nijifunze [emoji23][emoji23][emoji23] halaf sikumkosa kibao hata kimoja ,na vitu kama vikiwepo ndio nakupiga navyonavuta picha hayo mapigano yalikuwaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah sawa dada Q[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]niwache
Ahahahahahahah35? Hapo tafuta mpunga tu utaowa vijana wapo maisha yanawasumbua mtaani wanatafuta akina mama wawahifadhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hafu mm tangu nipo mdogo siwezi kubishana na mwanamke nikikuangalia tu, nakuonea huruma nikipiga Kofi nitakuharibu sura bure. Hata ukinitukana nitakuangalia tu ila adhabu nitakayokupa utajilaumu mwenyeweYe alijua kwa vile mi mdogo kwake atanibomoa tu kibao kikamgeukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sawa dada Q
Ndio hivyo mwanaume wa kweli hapigi mwanamke[emoji23]Hafu mm tangu nipo mdogo siwezi kubishana na mwanamke nikikuangalia tu, nakuonea huruma nikipiga Kofi nitakuharibu sura bure. Hata ukinitukana nitakuangalia tu ila adhabu nitakayokupa utajilaumu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Aligoma kwa utofauti wa dini!!basi ikawa tafrani tupu miye nkasema naolewa bwana na kimimba hichoo!!!mzee wangu ni muislamu safi yaani mlokole wa kiislamu acha tu!Ndoa ilivunjika tu wala usiseme baraka za baba yako zilikosa, Nazani wajomba zako hawakumshirikisha baba yako wakati umechumbiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachana na mimi anania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]