Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahah
Usicheke nkawe bimdogo wa mtu!!!baasi nilisongeshee!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahah
Na bado sijaitendea haki vizuriBabu umeitendea haki chumvi uliyoila[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahahahahah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewee!sio wakristo wa upande wa mama angu!![emoji2] [emoji2] [emoji2] shoga itakula kwako!ina depends na wakristo wepi!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] win win situation tuu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] unapetro hapa babu Asprin!!!au hunitakii!nitafute mstaafu mwingine!![emoji13]Akili yako unaijua mwenyewe wallah
😂😂😂😂😂 daaah sema washua kwa watoto wa kike huwa huwaambii kituNilikuwa nalia nimekasirika ,halaf namfata alipo akanikumbatia akaniambia kakupiga?nikamuambia hapana nimempiga akasema safi sana nyamanza sasa usilie ,akikuchokoza tena piga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji23] na yeye alivyoskia jimmy akakutoa ndukiii!!kweli maana hata hicho kibuti niliforce mtu sikuwa nimemuelewa wala nn nikasema embu nijaribu nidate na ustadhat weeeee sijawahi kula kibuti kama kile
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Fanya ukipendacho my dear!!! Umtu mzima sasa hivi!!Ni hivi mimi upande wa baba waislam wote,upande wa mama wakristo wote,halaf mi naona upande wa mama wako poa zaidii ,naonaga dini ya mama yangu naifurahia zaidi ,Mfano G anasali dhehebu moja na mama so nakuwa napenda zaidi,mapenzi nyie acheni mi hapa nilipo sipindui kwa chochote , nyie ndugu mtasamehe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ww siumeshasema wanaokulove kiukweli ni kina jimmie sasa 😂😂 au kisa mzee bado kakaza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkwe hapana nampenda jamani!simuibii namtunzia pensheni!!
Akina Anania niliowahi kuwasiki, kukutana nao ni ME tu.Anania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jamaniiNilikuwa nalia nimekasirika ,halaf namfata alipo akanikumbatia akaniambia kakupiga?nikamuambia hapana nimempiga akasema safi sana nyamanza sasa usilie ,akikuchokoza tena piga tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu huyu anajishauaa!Babu umeitendea haki chumvi uliyoila[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] nabii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amina
Asha
Aviana
Anna
Anastazia
Agness
Alicia
Huchomoki hapo[emoji23] [emoji23]
Mbea tu huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] achana naee!!Mzigua90 hapo juu ... nakuona unanigongea LIKE kimoyomoyo
nahisi ningesema naitwa juma asingechomoa.... sema ilikuwa ngumu kumdanganya maana ilikuwa kipind cha chuo alafu nilikuwa mtu matukio sana wengi wananijua