Matata, Msafiri, Tabu, Shida, Mateso, Mhangaiki, MajutoWanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
au mtaani watamwita KayoMASADUKAYO...... jina zuri hata kwenye biblia lipo ya kiswahili
Mtaani kifupi watamwita SADU
mkeo mama MASADUKAYO
Na wewe Baba MASADUKAYO
Inshort masadukayo atakuja kuwa mtoto mwenye akili sana kila la heri namtakia afya njema MASADUKAYO kwenye ukuaji wake
Tafuta jina la kabila lenu lenye maana nzuri au kilindi alichozaliwaWanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
Kugas SijaonaKunta Kinte