Jina zuri la mtoto wa kike

Jina zuri la mtoto wa kike

Ni kweli lakini halina guarantee.

Watu wengi ambao sasahiv Hawamini katika mungu ni waliolelewa katika familia za dini, ila wanapozidi kukua wanahisi kama si sahihi.

Muombe mungu tu yeye ndio kiongozi.
Nature Vs Nurture .

Mazingira hutengeneza mtu pamoja na Genes/vinasaba .

Papai halianguki mbali na mti wake .

Nakubaliana na wewe sisi tunalisha , Tunavisha lakini Mungu ndiye anayehuisha .

Yote hayo yakifanywa Kwa pure intentions na yakikutana na mazingira sahihi pamoja na mtu sahihi Kila Kitu kinawezekana .

Imani mbele
 
" MONALISA " nalipenda sana hili jina
Lazima nifike Louvre, france kuona hili jina..Monalisa, what a lovely name,😀
 
Back
Top Bottom