The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
eheee hapo hapo kwenye wajukuu. sema mmi hustler watanitaka hao wanapenda wasomi wenzao na wenye magari😀Sina mdogo ambae yupo single...labda wajukuu😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eheee hapo hapo kwenye wajukuu. sema mmi hustler watanitaka hao wanapenda wasomi wenzao na wenye magari😀Sina mdogo ambae yupo single...labda wajukuu😀
Wewe ni kifupi cha Maria?Mimi ni kifupi cha maria😂
Mim ni jinaWewe ni kifupi cha Maria?
Ok mkuu nimekuelewa.Mim ni jina
Sio mimi kama mimi
Mimi ni jina la mtu
Sasa kama hata gari huna mimi bibi yao naanza kukukataa😀eheee hapo hapo kwenye wajukuu. sema mmi hustler watanitaka hao wanapenda wasomi wenzao na wenye magari😀
Ngoja niotee.Sasa kama hata gari huna mimi bibi yao naanza kukukataa😀
Hivi mbona mnapenda sana mapenzi shida niniAu Tatiana, sema hili jina huwa wanapenda sana kutiana.
😂😂😂 mkuu nitake radhi tafadhali...huo muda nautoa wapi...??Achana na movie za kifilipino...
Huyo alishatembea na Tatiana wote dunianiHivi mbona mnapenda sana mapenzi shida nini
Muite cocasticWakuu habari za uzima?
Poleni na mihangaiko ya kuendelea kulijenga taifa letu.
Wakuu naomba suggestion ya jina la mtoto wa kike zuri.
Ahsanteni.
Utamuita imani au haki?Imani navutiwa na Jina hili .
Ni unisex nikipata Mtoto wa kike nitampatia Jina hili.
Haki .
Ndiyo mkuu Imani au haki .Utamuita imani au haki?
Daah muite tu .Ndiyo mkuu Imani au haki .
Sijakuelewa mkuuIla uombe asije kuwa kama wale wanaosema weka ela ya kusafisha kiatu.
Nina maanisha hata atakapokuwa aendane na hilo jina si kinyume chakeSijakuelewa mkuu
Nitamkuza kuendana na Jina lake .Nina maanisha hata atakapokuwa aendane na hilo jina si kinyume chake
Ni kweli lakini halina guarantee.Nitamkuza kuendana na Jina lake .
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Mithali 22:6 Mlee mtoto Katika njia impasayo naye hatoiacha hata atakapokuwa Mzee.