Jina zuri la mtoto wa kike

Jina zuri la mtoto wa kike

Aisee nimeshangaa sn

Huu ni ujinga wa kiwango cha lami. Ipo siku ataomba asaidiwe marital obligations kwa uvivu huu.

Jina la mwanao is very special you have to hold it dearly, sasa mtu akupe tu jina sijui huo uspecial unatokea wapi. Unamwambia mwanao jina nilitoa JF. Smh

Kuna mtu aliomba jina la mwanae mitandaoni kama hivi, akaambiwa muite Beverly kumbe hajui hata linavyotamkwa, ukisikia hiyo Beverly inavyotamkwa utachoka.
 
Gianna(God is merciful) afu nickname unamuita GG...aisee🔥🔥 afu awe nq rang nyeupe(adimu)
 
Back
Top Bottom