Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Pasco,
Imam Shaffi alikuwa akisema kuwa yeye anaweza kusimama kwa hoja hata
na watu mia lakini akitokea mjinga mmoja tu basi yeye huwa keshashindwa.
Nina ombi moja kwako Maalim, Al Alama Mohamed Said kama ulivyoeleza akitokea mjinga mmoja tuu, basi yeye keshashindwa, basi mimi nakuomba, inapotokea wanafunzi wako na wafuasi wako humu jf ndio wanaoleta ujinga, wewe usishindwe ka Imam Shaffi bali kemea, onya na kuwarudisha kwenye mstari ili wasiendfeleze huo ujinga wao humu!.
Mooja wao ndiye huyo niliyemuuza humu, hizo lugha nazo umemfunza wewe?!.

Pasco.
 
Mimi sina mfuasi.
Nachangia kama anavyochangia mtu yoyote.
 
Mzee Mohamed Said kajihalalisha kwa udini. Hawezi kutoka humo. Kawaingiza na marehemu wengi kwenye UDINI huo ili kujijengea ka-legitimacy ka aina flani hivi. Hawezi kubadilika.

WildCard,
Nakubandikia jibu nililompa mwenzako:

Ngongo,
Unatumia lugha kali kuwa "nishaambiwa sana."

Hiyo "sana" nadhani una maana watu wengi na mara nyingi.
Mimi hayo yote siyakubali kwa kuwa si kweli.

Hilo la kwanza.
Pili ni kuwa mimi siandiki hicho unachokiita wewe "udini."

Unasema "kichaka cha udini."

Nami nishakuambia sana kuwa maandishi yangu yamekuwa katika
"catalogue" ya Islam/Politics/History.

Mara kadhaa nimekueleza hili na nikakuelekeza kama utapenda
kujua zaidi angalia Library of Congress maandishi yangu yako
katika "catalogue" ipi.

Sijaishia hapo nimekupa hadi paper ambazo nimewasilisha katika
vyuo mbalimbali na vitabu nilivyoandika na vikachapwa na wachapaji
wakubwa wa dunia - Oxford University Press, Nairobi na New York.

Itawezekana vipi hawa wakachapa "udini?"

Sasa nakuongoza kitu kingine.

Haya ninayokuandikieni hapa takriban yote yanatoka katika kitabu
changu, "The Life and Times of Abduliwahid Sykes..." (1998).

Kitabu hiki kimefanyiwa "review" na John Iliffe (University of Cambridge)
Jonathon Glassman(Northwestern University), James Brenan (London
School of Oriental and African Studies).

Baadhi ya hawa waliofanya "review" ya kitabu changu nimeshafanyanao
mijadala ya wazi kwenye vyuo vyao huko kwao.

Hakuna yoyote kati ya hao kasema kuwa ninaandika "udini.''

Nadhani umenielewa na sitegemei tena kama utakuja kunihoji tena
kuhusu hicho unachokiita, "udini."

Lakini baada ya kukupa maelezo haya ikiwa utakuja tena kwangu na
hoja hii nitajua hakika lipo tatizo upande wako.​
Last edited by Mohamed Said; Yesterday at 20:03.​
FaizaFoxy likes this.

WildCard,
Wewe ndiye wa kubadilika kwa kufanya jitihadi za kusoma zaidi
ili ukija hapa jamvini michango yako ivutie wasikilizaji.

WildCard,
Unapenda mjadala lakini hufanyi maandalizi ukasoma kile unachotaka kujadili.

Isome historia ya Tanganyika vizuri.
Baada ya Berlin Conference Wajerumani wakaja Tanganyika kuja kuifanya koloni.

Wananchi walikataa uvamizi huu wakaamua kupigananao.
Bushiri bin Salim alisimama Pangani kupinga uvamizi huu na Mkwawa pia.

Wajerumani wasingeweza kupata jeshi Tanganyika ambalo lingepigana dhidi
ya ndugu zao hivyo Wissman akenda Mozambique kwenye kijiji cha Kwalikunyi
huko ndiko alipoweka mkataba na Chief Mohosh ndipo wakaja hawa Wazulu
kama jeshi la mamluki.

Ndani ya jeshi hili alikuwapo Sykes Mbuwane.

Wajerumani wakenda Sudan huko nako wakachukua askari mamluki wa Kinubi
wakawaleta Tanganyika.

Jeshi likawa limekamilika na vita ikaanza dhidi ya Bushir na Mkwawa.
Bushiri akakamatwa akanyongwa na historia ya Mkwawa ni mashuhuri.
Mzee Mohamed,

Vita ya Majimaji ilipiganwa kati ya mwaka 1905-06. Tanganyika haikuwepo enzi hizo. Una kawaida ya ku-ignore tarehe unapoona hazikusaidii kuandika historia unayoitaka wewe! Kumbuka tu kwamba bila tarehe historia huwa inakosa uhalali inakuwa hadithi au ngano.

Hata wakati wa vita ya Wajerumani na Mkwawa Tanganyika haikuwepo. Mkwawa alikuwa anapigania himaya yake.

Baada ya Berlin Conference pia Tanganyika haikuwepo labda kwa jina lingine! Acha upotoshaji hasa kwa vijana WANAOKUSOMA sasa.

Sykes wakati huo alikuwa raia wa Africa Kusini kabla hajawa mzalendo na kuanza kuzaa wazalendo wa Mzizima!
 
Naona Mzee Mohamed unaendelea na jitihada zako za kutaka kitabu chako kisomwe upya kwa kutumia magazeti. WaTanzania wa leo ni weledi sana. Tuwaachie wakusome ili wakuelewe una malengo gani kwa nchi yetu.

Mwalimu alipambana na akina Sheikh Takadir wako akashinda. Historia ndivyo ilivyo.
 
Mzee Mohamed,

Vita ya Majimaji ilipiganwa kati ya mwaka 1905-06. Tanganyika haikuwepo enzi hizo. Una kawaida ya ku-ignore tarehe unapoona hazikusaidii kuandika historia unayoitaka wewe! Kumbuka tu kwamba bila tarehe historia huwa inakosa uhalali inakuwa hadithi au ngano.

Hata wakati wa vita ya Wajerumani na Mkwawa Tanganyika haikuwepo. Mkwawa alikuwa anapigania hoimaya yake.

Baada ya Berlin Conference pia Tanganyika haikuwepo labda kwa jina lingine! Acha upotoshaji hasa kwa vijana WANAOKUSOMA sasa.

Sykes wakati huo alikuwa raia wa Africa Kusini kabla hajawa mzalendo na kuanza kuzaa wazalendo wa Mzizima!

WildCard,
Nimepuuza vipi kalenda?

Wewe unataka kuleta ubishi wa "semantics."
Mimi muda huo sina.

Niko hapa kueleza yale ninayoyajua ambayo si wengi wanayafahamu.

Ikiwa unataka tuite Bagamoyo nchi katika pwani ya Afrika Mashariki
mimi sina tabu ni sawa kwangu.

Hali kadhalika ikiwa unataka tuite Iringa ni Kalenga au nchi ya Mkwawa
kwangu sawa pia.

Hilo la uraia wa Afrika Kusini wa askari wa Kizulu kutoka kijiji cha Kwalikunyi,
kijiji kilichopo Mozambique...

Mozambique ilikuwa chini ya Wareno.

Naona lugha imekuwa kali kidogo unashindwa kufikiri.
Tulizana punguza ghadhabu utaandika vizuri.
 
Pasco,
Mimi sina mfuasi.
Nachangia kama anavyochangia mtu yoyote.
Nakubaliana na wewe, kuwa sisi kama wana jf, tuko sawa, hakuna mwenye washabiki wala wafuasi, laki pia najua unajijua nguvu uliyonayo humu jf, kuhusiana na hoja unazozipigia nia na unajua fika kuwa sio tuu una washabiki humu, bali hadi wafuasi na unawajua!.

Siku zote kwenye mnakasha, wewe ni mwalimu wa lugha za staha, na sio mara moja wala mbili, umeendesha darsa la mnakasha, ila nimenote wakileta ujinga wajinga wajinga wengine, unakemea, ila wakileta ujinga ujinga wafuasi, wewe kimya!.

Wewe kama mwanazuoni, unapaswa kuwa totally impartial, ila kwa sababu niliwahi kusema humu kuwa 'you are a man with a mission', na 'the motive behind ni some ill motives', tuendelee tuu kuzipanda, tuzimwagilie zitamea, tusiwekee mbolea zimee vizuri, hadi zikomae tupate mavuno mengi!, nazungumzia zile 'mbegu' unazotupandia humu!.

Pasco
 
Naona Mzee Mohamed unaendelea na jitihada zako za kutaka kitabu chako kisomwe upya kwa kutumia magazeti. WaTanzania wa leo ni weledi sana. Tuwaachie wakusome ili wakuelewe una malengo gani kwa nchi yetu.

Mwalimu alipambana na akina Sheikh Takadir wako akashinda. Historia ndivyo ilivyo.

WildCard,
Punguza ghadhabu.

Mimi sifanyi jitihada ili kitabu changu kisomwe.
Hiki ni kitabu cha zamani 1998.

Siwezi leo kutaka watu wakisome.

Kwa sasa kitabu hiki kingekuwa rejea ila kwa jinsi kwa njia ya ajabu watu
wanakitafuta.

Hii ndiyo imefanya kiende toleo la tatu Kiswahili na toleo la pili Kiingereza.
Kwa sasa ningependa watu wanisome katika Dictionary of African Biography
DAB), Oxford University Press, New York.

Hilo la kutumia magazeti...
Si mie ninaetumia magazeti kuuza kitabu changu.

Magazeti yananitumia mimi kuuza magazeti.
Huyo ndiye Allah na rehma zake.

Hilo la kuwaachia watu wanisome...
Si unaona nikiwa hewani mnavyojazana?

Kwani nakuiteni?
Jiulize wewe WildCard nini kinachokufanya uje mbio kunisoma?

Ushajiuliza?
 
Nakubaliana na wewe, kuwa sisi kama wana jf, tuko sawa, hakuna mwenye washabiki wala wafuasi, laki pia najua unajijua nguvu uliyonayo humu jf, kuhusiana na hoja unazozipigia nia na unajua fika kuwa sio tuu una washabiki humu, bali hadi wafuasi na unawajua!.

Siku zote kwenye mnakasha, wewe ni mwalimu wa lugha za staha, na sio mara moja wala mbili, umeendesha darsa la mnakasha, ila nimenote wakileta ujinga wajinga wajinga wengine, unakemea, ila wakileta ujinga ujinga wafuasi, wewe kimya!.

Wewe kama mwanazuoni, unapaswa kuwa totally impartial, ila kwa sababu niliwahi kusema humu kuwa 'you are a man with a mission', na 'the motive behind ni some ill motives', tuendelee tuu kuzipanda, tuzimwagilie zitamea, tusiwekee mbolea zimee vizuri, hadi zikomae tupate mavuno mengi!, nazungumzia zile 'mbegu' unazotupandia humu!.

Pasco

Pasco,
Ndugu yangu.

Hivi vitisho vya nini?
Wewe si wa kutishika na kalamu ya Mohamed Said.

Mtu mmoja mkubwa katika CCM alipata kuniita mimi, "Mbilikimo."

Kisa chake kakasirika kuandika kuwa babu zangu baada ya kuunda African
Association wakaunda Al Jamiatul Islamiyya kisha TANU.

Jamaa zangu wakanambia huyu kakutukana kwa kuwa umemtisha.
Mimi nikauliza nimemtisha kitu gani?

Wakasema unaezua kipaa cha nyumba yake.
Kikiondoka kipaa hicho yeye hana stara tena.
 
Wakati wa vita ya Majimaji Tanganyika haikuwepo na akina Sykes walikuwa bado ni raia wa Africa Kusini.

At that time Mr. WILDCARD, your grand parents were not Christians and had their traditions and own way of governing thwir people peacfully and wisely they had traditions like for example polygamy (not islamic polygamy but traditional and when the missioneries could not convince your grand parents to convert or get rid of their multiple wives they convicted them under theor laws. At that time The Germans tricked some Chiefs to get rid of their powers under some shoddy accords. Your people were powerless to fight the Germans and other colonialist but the Musliman managed to get the people together and fight those attrocities.
 
Mhamasishaji wa kupiga fatwa tuu ataje wapi kwa lipi?.
Endeleeni tuu kupiga mikelele humu, huku shule zetu zikiendelea kutesa kwenye top ten, huku zenu zikiendelea kuzungusha kule mkiani!. Chuo kikuu hicho mmepewa sadaka, kimewashinda, na mahakama za kadhi mtapewa na zitawashinda!, wengine hawana wajuacho, ama wachangiacho zaidi tuu ya kupiga adhana!.

Kama Sheikh Takadir alikuwa muhimu kihivyo wa kustahili kuenziwa, then si mumuenzi nyinyi mnaoujua umuhimu wake!.
Pale Arusha tunao uwanja wa Sheikh Amri Abeid, sijamsikia Sheikh Kassin Bin Jumaa anaenziwa vipi?, Sijamsikia Sheikh Hemed Bin Jumaa bin Hemed, anaenziwa vipi!, sijamsikia Sheikh Nurdeen Husein anaenziwa vipi!, sijamsikia Sheikh Said Comorean anaenziwa vipi, sijamsikia Sheikh Omar Jabir anenziwa vipi, why only Sheikh Takadir?!.

Hizi lugha za porojo, kuhororoja na kubwabwaja, nazo kakufunza Maalim Al Alama Mohamed Said?!.

Pasco

Naona umekuja na povu kama kama mlevi aliyejeruhiwa, na unaendeleza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango, wewe ndiye uliyeandika kuwa umelisikia jina Sheikh Suleman Tkadir siku nyingi sana, jikumbushe:

quote_icon.png
By Pasco

Mkuu Maalim Mohamed Said, kwanza asante kwa kisa hiki cha Mzee wako, Sheikh Suleiman Takadir, ila sio kweli kuwa Mzee huyu hatajatwa popote kwenye historia ya Tanu, kwa sababu mimi nimelisikia jina la Sheikh Suleiman Takadir siku nyingi, kabla sijakusoma wewe,

Nimekwambia "tuoneshe lilipotajwa kihistoria" kamtihani kepesi sana na nikakupa ushauri mdogo sana ikiwa utashindwa kutuonesha nikakwambia "kaa kimya ujisomee" hujaja na jibu wala kuweza kukaa kimya ukajisomea, rudia:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kusikia tu? kila mtu wa Dar kalisikia hilo.

Tuoneshe lilipotajwa kihistoria, kama hauna kaa kimya ujisomee.

Usituletee porojo, kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Nilitegemea kuwa utakuja na povu kwani hutoweza kutuonesha wapi ulipomsoma Sheikh Suleman Takadir zaidi ya kwa Al Alama Mohamed Said, wewe umesikia tu na nnauhakaika hata hicho ulichokisikia hukijuwi ni nini, kaa kimya ufyonze ilmu kutoka kwa Al Alama Mohamed Said ambayo huna ujuzi nao, na siku nyingine uweze kusema nimesoma hiki na hiki na kile kuhusu Sheikh Suleman Takadir na wengine wengi uliowataja, kila mmoja utaelimishwa kwa lake, au wewe unayo utupe? hapo sasa!!

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
Wakati wa vita ya Majimaji Tanganyika haikuwepo na akina Sykes walikuwa bado ni raia wa Africa Kusini.

Tuelezee basi walikuwepo akina nani na resistance yao ya kuchukuliwa Uhuru wao ilifanywa na akina nani?

Hapo sasa!
 
Sasa Faiza mtu MDINI wa aina ya Sheikh Takadir unamtaja kwenye HISTORIA ya nchi ipi? Mbona hakuna hata msikiti uloopewa jina hili pamoja kuipenda DINI yake sana?

Muulize Pasco amesema "kwa sababu mimi nimelisikia jina la Sheikh Suleiman Takadir siku nyingi, kabla sijakusoma wewe" kwa maana kuwa anamjuwa zaidi Sheikh Suleman Takadir.

Kama akishindwa kukupa jibu nnakushauri kama nilivyomshauri Pasco, kaa kimya ufyonze ilmu kutoka kwa Al Alama Mohamed Said, uyajuwe usoyajuwa.
 
Pasco,
Ndugu yangu.

Hivi vitisho vya nini?
Wewe si wa kutishika na kalamu ya Mohamed Said.

Mtu mmoja mkubwa katika CCM alipata kuniita mimi, "Mbilikimo."

Kisa chake kakasirika kuandika kuwa babu zangu baada ya kuunda African
Association wakaunda Al Jamiatul Islamiyya kisha TANU.

Jamaa zangu wakanambia huyu kakutukana kwa kuwa umemtisha.
Mimi nikauliza nimemtisha kitu gani?

Wakasema unaezua kipaa cha nyumba yake.
Kikiondoka kipaa hicho yeye hana stara tena.
Mkuu, Maalim Al Alama Mohamed Said, sijatoa kitisho chochote, ila uwezo wako naujua na naukubali, na power yako naijua na naikubali, ndio maana nikakushauri, endelea tuu kuzipanda hizo 'mbegu', zitaota, zimwagilie, zitilie mbolea, zitastawi, zitakomaa, zitawiva na hatimaye, tutapata mavuno kusudiwa!, ila tuu hala hala wakati wa kugawana fito, kisije tokea kisa cha 'Mwanagutu" anaelezwa kuwa "siku yako ipo mwanangu, nimekuwekea!", ninanatizwa tuu na hiyo double standard yako katika kufunza nidhamu ya mnakasha, vinginevyo, keep up the good job kukamilisha 'the mission' hadi iwe 'mission completed successfully' if not 'mission imposible!'.

Pasco
 
Naona Mzee Mohamed unaendelea na jitihada zako za kutaka kitabu chako kisomwe upya kwa kutumia magazeti. WaTanzania wa leo ni weledi sana. Tuwaachie wakusome ili wakuelewe una malengo gani kwa nchi yetu.

Mwalimu alipambana na akina Sheikh Takadir wako akashinda. Historia ndivyo ilivyo.
WildCard.

Wamiliki wa magazeti na wamiliki wa vituo vya televisheni ndiyo wanamtafuta Mohamed Said hawaandikie historia ya Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Naona umekuja na povu kama kama mlevi aliyejeruhiwa, na unaendeleza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango, wewe ndiye uliyeandika kuwa umelisikia jina Sheikh Suleman Tkadir siku nyingi sana, jikumbushe:

Nimekwambia "tuoneshe lilipotajwa kihistoria" kamtihani kepesi sana na nikakupa ushauri mdogo sana ikiwa utashindwa kutuonesha nikakwambia "kaa kimya ujisomee" hujaja na jibu wala kuweza kukaa kimya ukajisomea, rudia:

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Kusikia tu? kila mtu wa Dar kalisikia hilo.

Tuoneshe lilipotajwa kihistoria, kama hauna kaa kimya ujisomee.

Usituletee porojo, kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Nilitegemea kuwa utakuja na povu kwani hutoweza kutuonesha wapi ulipomsoma Sheikh Suleman Takadir zaidi ya kwa Al Alama Mohamed Said, wewe umesikia tu na nnauhakaika hata hicho ulichokisikia hukijuwi ni nini, kaa kimya ufyonze ilmu kutoka kwa Al Alama Mohamed Said ambayo huna ujuzi nao, na siku nyingine uweze kusema nimesoma hiki na hiki na kile kuhusu Sheikh Suleman Takadir na wengine wengi uliowataja, kila mmoja utaelimishwa kwa lake, au wewe unayo utupe? hapo sasa!!

Kwi kwi kwi teh teh teh
Nimepitia hii bayana yako FaizaFoxy kwa utuvu na nimekuelewa kiundani mno bayana imejaa mafundo mengi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, Maalim Al Alama Mohamed Said, sijatoa kitisho chochote, ila uwezo wako naujua na naukubali, na power yako naijua na naikubali, ndio maana nikakushauri, endelea tuu kuzipanda hizo 'mbegu', zitaota, zimwagilie, zitilie mbolea, zitastawi, zitakomaa, zitawiva na hatimaye, tutapata mavuno kusudiwa!, ila tuu hala hala wakati wa kugawana fito, kisije tokea kisa cha 'Mwanagutu" anaelezwa kuwa "siku yako ipo mwanangu, nimekuwekea!", ninanatizwa tuu na hiyo double standard yako katika kufunza nidhamu ya mnakasha, vinginevyo, keep up the good job kukamilisha 'the mission' hadi iwe 'mission completed successfully' if not 'mission imposible!'.

Pasco

Tulimezeshwa mbegu za historia dhaifu za Kigamboni, bado unataka tumeze hizo hizo ambazo zilishindwa kumea?

Ikiwa historia ya ukweli imekuwa mbegu basi naam itamea na itakuwa. Vipi, inakuuma?

Roho zinawapasuka na kuwauma kila msikiapo hawa Wazee wa Kiislaam kuwa walikuwepo kwenye historia, na mapicha ya ushahidi juu.

Laiti ingalikuwa ni babu zako hao sijui kama ungekuja na kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.

Hebu tupe basi historia ya babu zako, japo kiduchu.
 
Mkuu, Maalim Al Alama Mohamed Said, sijatoa kitisho chochote, ila uwezo wako naujua na naukubali, na power yako naijua na naikubali, ndio maana nikakushauri, endelea tuu kuzipanda hizo 'mbegu', zitaota, zimwagilie, zitilie mbolea, zitastawi, zitakomaa, zitawiva na hatimaye, tutapata mavuno kusudiwa!, ila tuu hala hala wakati wa kugawana fito, kisije tokea kisa cha 'Mwanagutu" anaelezwa kuwa "siku yako ipo mwanangu, nimekuwekea!", ninanatizwa tuu na hiyo double standard yako katika kufunza nidhamu ya mnakasha, vinginevyo, keep up the good job kukamilisha 'the mission' hadi iwe 'mission completed successfully' if not 'mission imposible!'.

Pasco
Mkuu Pasco,

Kila wiki Raia Mwema wamempa Maalim Mohamed Said kurasa kwenye gazeti lao ili atoe darsa kwa Watanzania ili kuifahamu historia ya Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Wakatoliki wampe tu JKN Utakatifu maana chuki mliyo nayo juu yake ni kubwa mno.
Sasa mkimpa JKN utakatifu sisi inatuhusu nini? tumeona mitume hapa Dar, itakua JKN kuwa mtakatifu? acha chuki za kidini
 
historia ya tz imesahau wengi tu sio waislam peke yao,mbona hao wakristo hujawaongelea nfano oscar kambona aliyeacha chuo uingereza kwajili ya TANU,mtu aliyetuliza machafuko 1962 ambapo nyrere na mkwawa walikimbilia kigambon.mbona hujawah kumuongelea,vip kwakua n mkristo.acha topic za chuki za kidini.tz kuna vitu vingi sana vyakuviandikia ili jamii ijikomboe na sio kidini.af unajikuta mwandishi et vyuo vingi dunian vinakusoma.
 
Back
Top Bottom