Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nina ombi moja kwako Maalim, Al Alama Mohamed Said kama ulivyoeleza akitokea mjinga mmoja tuu, basi yeye keshashindwa, basi mimi nakuomba, inapotokea wanafunzi wako na wafuasi wako humu jf ndio wanaoleta ujinga, wewe usishindwe ka Imam Shaffi bali kemea, onya na kuwarudisha kwenye mstari ili wasiendfeleze huo ujinga wao humu!.Pasco,
Imam Shaffi alikuwa akisema kuwa yeye anaweza kusimama kwa hoja hata
na watu mia lakini akitokea mjinga mmoja tu basi yeye huwa keshashindwa.
Nina ombi moja kwako Maalim, Al Alama Mohamed Said kama ulivyoeleza akitokea mjinga mmoja tuu, basi yeye keshashindwa, basi mimi nakuomba, inapotokea wanafunzi wako na wafuasi wako humu jf ndio wanaoleta ujinga, wewe usishindwe ka Imam Shaffi bali kemea, onya na kuwarudisha kwenye mstari ili wasiendfeleze huo ujinga wao humu!.
Mooja wao ndiye huyo niliyemuuza humu, hizo lugha nazo umemfunza wewe?!.
Pasco.
Mzee Mohamed Said kajihalalisha kwa udini. Hawezi kutoka humo. Kawaingiza na marehemu wengi kwenye UDINI huo ili kujijengea ka-legitimacy ka aina flani hivi. Hawezi kubadilika.
Mzee Mohamed,WildCard,
Unapenda mjadala lakini hufanyi maandalizi ukasoma kile unachotaka kujadili.
Isome historia ya Tanganyika vizuri.
Baada ya Berlin Conference Wajerumani wakaja Tanganyika kuja kuifanya koloni.
Wananchi walikataa uvamizi huu wakaamua kupigananao.
Bushiri bin Salim alisimama Pangani kupinga uvamizi huu na Mkwawa pia.
Wajerumani wasingeweza kupata jeshi Tanganyika ambalo lingepigana dhidi
ya ndugu zao hivyo Wissman akenda Mozambique kwenye kijiji cha Kwalikunyi
huko ndiko alipoweka mkataba na Chief Mohosh ndipo wakaja hawa Wazulu
kama jeshi la mamluki.
Ndani ya jeshi hili alikuwapo Sykes Mbuwane.
Wajerumani wakenda Sudan huko nako wakachukua askari mamluki wa Kinubi
wakawaleta Tanganyika.
Jeshi likawa limekamilika na vita ikaanza dhidi ya Bushir na Mkwawa.
Bushiri akakamatwa akanyongwa na historia ya Mkwawa ni mashuhuri.
Mzee Mohamed,
Vita ya Majimaji ilipiganwa kati ya mwaka 1905-06. Tanganyika haikuwepo enzi hizo. Una kawaida ya ku-ignore tarehe unapoona hazikusaidii kuandika historia unayoitaka wewe! Kumbuka tu kwamba bila tarehe historia huwa inakosa uhalali inakuwa hadithi au ngano.
Hata wakati wa vita ya Wajerumani na Mkwawa Tanganyika haikuwepo. Mkwawa alikuwa anapigania hoimaya yake.
Baada ya Berlin Conference pia Tanganyika haikuwepo labda kwa jina lingine! Acha upotoshaji hasa kwa vijana WANAOKUSOMA sasa.
Sykes wakati huo alikuwa raia wa Africa Kusini kabla hajawa mzalendo na kuanza kuzaa wazalendo wa Mzizima!
Nakubaliana na wewe, kuwa sisi kama wana jf, tuko sawa, hakuna mwenye washabiki wala wafuasi, laki pia najua unajijua nguvu uliyonayo humu jf, kuhusiana na hoja unazozipigia nia na unajua fika kuwa sio tuu una washabiki humu, bali hadi wafuasi na unawajua!.Pasco,
Mimi sina mfuasi.
Nachangia kama anavyochangia mtu yoyote.
Naona Mzee Mohamed unaendelea na jitihada zako za kutaka kitabu chako kisomwe upya kwa kutumia magazeti. WaTanzania wa leo ni weledi sana. Tuwaachie wakusome ili wakuelewe una malengo gani kwa nchi yetu.
Mwalimu alipambana na akina Sheikh Takadir wako akashinda. Historia ndivyo ilivyo.
Nakubaliana na wewe, kuwa sisi kama wana jf, tuko sawa, hakuna mwenye washabiki wala wafuasi, laki pia najua unajijua nguvu uliyonayo humu jf, kuhusiana na hoja unazozipigia nia na unajua fika kuwa sio tuu una washabiki humu, bali hadi wafuasi na unawajua!.
Siku zote kwenye mnakasha, wewe ni mwalimu wa lugha za staha, na sio mara moja wala mbili, umeendesha darsa la mnakasha, ila nimenote wakileta ujinga wajinga wajinga wengine, unakemea, ila wakileta ujinga ujinga wafuasi, wewe kimya!.
Wewe kama mwanazuoni, unapaswa kuwa totally impartial, ila kwa sababu niliwahi kusema humu kuwa 'you are a man with a mission', na 'the motive behind ni some ill motives', tuendelee tuu kuzipanda, tuzimwagilie zitamea, tusiwekee mbolea zimee vizuri, hadi zikomae tupate mavuno mengi!, nazungumzia zile 'mbegu' unazotupandia humu!.
Pasco
Wakati wa vita ya Majimaji Tanganyika haikuwepo na akina Sykes walikuwa bado ni raia wa Africa Kusini.
Mhamasishaji wa kupiga fatwa tuu ataje wapi kwa lipi?.
Endeleeni tuu kupiga mikelele humu, huku shule zetu zikiendelea kutesa kwenye top ten, huku zenu zikiendelea kuzungusha kule mkiani!. Chuo kikuu hicho mmepewa sadaka, kimewashinda, na mahakama za kadhi mtapewa na zitawashinda!, wengine hawana wajuacho, ama wachangiacho zaidi tuu ya kupiga adhana!.
Kama Sheikh Takadir alikuwa muhimu kihivyo wa kustahili kuenziwa, then si mumuenzi nyinyi mnaoujua umuhimu wake!.
Pale Arusha tunao uwanja wa Sheikh Amri Abeid, sijamsikia Sheikh Kassin Bin Jumaa anaenziwa vipi?, Sijamsikia Sheikh Hemed Bin Jumaa bin Hemed, anaenziwa vipi!, sijamsikia Sheikh Nurdeen Husein anaenziwa vipi!, sijamsikia Sheikh Said Comorean anaenziwa vipi, sijamsikia Sheikh Omar Jabir anenziwa vipi, why only Sheikh Takadir?!.
Hizi lugha za porojo, kuhororoja na kubwabwaja, nazo kakufunza Maalim Al Alama Mohamed Said?!.
Pasco
Wakati wa vita ya Majimaji Tanganyika haikuwepo na akina Sykes walikuwa bado ni raia wa Africa Kusini.
Sasa Faiza mtu MDINI wa aina ya Sheikh Takadir unamtaja kwenye HISTORIA ya nchi ipi? Mbona hakuna hata msikiti uloopewa jina hili pamoja kuipenda DINI yake sana?
Mkuu, Maalim Al Alama Mohamed Said, sijatoa kitisho chochote, ila uwezo wako naujua na naukubali, na power yako naijua na naikubali, ndio maana nikakushauri, endelea tuu kuzipanda hizo 'mbegu', zitaota, zimwagilie, zitilie mbolea, zitastawi, zitakomaa, zitawiva na hatimaye, tutapata mavuno kusudiwa!, ila tuu hala hala wakati wa kugawana fito, kisije tokea kisa cha 'Mwanagutu" anaelezwa kuwa "siku yako ipo mwanangu, nimekuwekea!", ninanatizwa tuu na hiyo double standard yako katika kufunza nidhamu ya mnakasha, vinginevyo, keep up the good job kukamilisha 'the mission' hadi iwe 'mission completed successfully' if not 'mission imposible!'.Pasco,
Ndugu yangu.
Hivi vitisho vya nini?
Wewe si wa kutishika na kalamu ya Mohamed Said.
Mtu mmoja mkubwa katika CCM alipata kuniita mimi, "Mbilikimo."
Kisa chake kakasirika kuandika kuwa babu zangu baada ya kuunda African
Association wakaunda Al Jamiatul Islamiyya kisha TANU.
Jamaa zangu wakanambia huyu kakutukana kwa kuwa umemtisha.
Mimi nikauliza nimemtisha kitu gani?
Wakasema unaezua kipaa cha nyumba yake.
Kikiondoka kipaa hicho yeye hana stara tena.
WildCard.Naona Mzee Mohamed unaendelea na jitihada zako za kutaka kitabu chako kisomwe upya kwa kutumia magazeti. WaTanzania wa leo ni weledi sana. Tuwaachie wakusome ili wakuelewe una malengo gani kwa nchi yetu.
Mwalimu alipambana na akina Sheikh Takadir wako akashinda. Historia ndivyo ilivyo.
Nimepitia hii bayana yako FaizaFoxy kwa utuvu na nimekuelewa kiundani mno bayana imejaa mafundo mengi.Naona umekuja na povu kama kama mlevi aliyejeruhiwa, na unaendeleza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango, wewe ndiye uliyeandika kuwa umelisikia jina Sheikh Suleman Tkadir siku nyingi sana, jikumbushe:
Nimekwambia "tuoneshe lilipotajwa kihistoria" kamtihani kepesi sana na nikakupa ushauri mdogo sana ikiwa utashindwa kutuonesha nikakwambia "kaa kimya ujisomee" hujaja na jibu wala kuweza kukaa kimya ukajisomea, rudia:
By FaizaFoxy
Kusikia tu? kila mtu wa Dar kalisikia hilo.
Tuoneshe lilipotajwa kihistoria, kama hauna kaa kimya ujisomee.
Usituletee porojo, kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
Nilitegemea kuwa utakuja na povu kwani hutoweza kutuonesha wapi ulipomsoma Sheikh Suleman Takadir zaidi ya kwa Al Alama Mohamed Said, wewe umesikia tu na nnauhakaika hata hicho ulichokisikia hukijuwi ni nini, kaa kimya ufyonze ilmu kutoka kwa Al Alama Mohamed Said ambayo huna ujuzi nao, na siku nyingine uweze kusema nimesoma hiki na hiki na kile kuhusu Sheikh Suleman Takadir na wengine wengi uliowataja, kila mmoja utaelimishwa kwa lake, au wewe unayo utupe? hapo sasa!!
Kwi kwi kwi teh teh teh
Mkuu, Maalim Al Alama Mohamed Said, sijatoa kitisho chochote, ila uwezo wako naujua na naukubali, na power yako naijua na naikubali, ndio maana nikakushauri, endelea tuu kuzipanda hizo 'mbegu', zitaota, zimwagilie, zitilie mbolea, zitastawi, zitakomaa, zitawiva na hatimaye, tutapata mavuno kusudiwa!, ila tuu hala hala wakati wa kugawana fito, kisije tokea kisa cha 'Mwanagutu" anaelezwa kuwa "siku yako ipo mwanangu, nimekuwekea!", ninanatizwa tuu na hiyo double standard yako katika kufunza nidhamu ya mnakasha, vinginevyo, keep up the good job kukamilisha 'the mission' hadi iwe 'mission completed successfully' if not 'mission imposible!'.
Pasco
Mkuu Pasco,Mkuu, Maalim Al Alama Mohamed Said, sijatoa kitisho chochote, ila uwezo wako naujua na naukubali, na power yako naijua na naikubali, ndio maana nikakushauri, endelea tuu kuzipanda hizo 'mbegu', zitaota, zimwagilie, zitilie mbolea, zitastawi, zitakomaa, zitawiva na hatimaye, tutapata mavuno kusudiwa!, ila tuu hala hala wakati wa kugawana fito, kisije tokea kisa cha 'Mwanagutu" anaelezwa kuwa "siku yako ipo mwanangu, nimekuwekea!", ninanatizwa tuu na hiyo double standard yako katika kufunza nidhamu ya mnakasha, vinginevyo, keep up the good job kukamilisha 'the mission' hadi iwe 'mission completed successfully' if not 'mission imposible!'.
Pasco
Sasa mkimpa JKN utakatifu sisi inatuhusu nini? tumeona mitume hapa Dar, itakua JKN kuwa mtakatifu? acha chuki za kidiniWakatoliki wampe tu JKN Utakatifu maana chuki mliyo nayo juu yake ni kubwa mno.