Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Miriam-Jolwa-Kabula-cut.jpg

Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwei litawateketeza wasanii wote wa Bongo movie na hakuna atakaebaki kama hawatobadilika kitabia.

Akiongea na gazeti la pendwa na Watanzania Maskani Bongo alisem" Sio siri kwa mfano leo hii wasanii wote bongo movie waseme wakamatwe kinguvu wakapimwe HIV utaona hali ilivyokuwa mbaya na sijui hata mmoja atakuwa mzima na sababu kubwa ni njaa ambapo sisi wengi wetu tuna majina lakini hatuna kitu hivyo hiyo hutoa nafasi ya kujirahisha ili kupata pesa" Alisem Kabula kwa uchungu.
Ni kweli lakini, wasanii wa bongo movie na fleva wako hoi kiuchumi, wanasikitisha mno. Wanajifanya watu wa maana ila hawana lolote kila kukicha wako wanajinadi Insta tu.
 
Back
Top Bottom