Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Wabongo Mnapenda Kuzungumza Vitu Visivyo Na Tija. Hyo Chain Haipo Bongo Movie Tu Kwakua Wengi Tunawafahamu, Lkn Chain Hyo Hyo Ipo Mtaani Kwako, Kazin Kwako Na Hata Anakoishi Mpenzi Wako. Hali Ni Mbaya Kila Sehemu, Kati Ya Watu 10 Bac Wawili Wameathirika, Ss Co Sawa Kuwasema Watu Wkt Haujui Mpenzi Wako Anatoka Na Nan Na Anastatus Gan Kiafya. Wengine Wanaambukizwa Na Mabosi Wao Makazini Wakidhan Wakitoka Na Maboc Ndo Wataonekana Babkubwa. Na Wanachuo Wanaotegemea Boom, Hutoka Na Wafanyakazi, So Ni Kumuomba Mungu Hasa Walio Ktk Ndoa Maana Hawanaga Option Ya Kutumia Kinga.
 
Hapo sibishi, wema anatoka na platinums, platinums ametoka na jokate, aunt ezekiel,irene uwoya,jack wolper, lulu,...... list ndefu, halafu angalia hao niliowataja na watu waliotoka nao kila mmoja, mfano lulu katoka na bob juniour(tetesi zangu), wema ndio usiseme, halafu ongeza na wolper na aunt, utaona mnyororo mrefu ambao ndani yake hata huyo anayedai kuwa wasanii wenzake wana ngoma na yeye mwenye yupo! "Ndege wafananao huruka pamoja".

una maana ya kua kila utokae nae ,akuwa na virusi vya ukimwi una kua na ukimwi au?hili gonjwa lipo wazi!!! uzinzi tu!!! ila nigonjwa ambalo alina utabiri kama akili za wengi
 
mmekomaa na wabongo movie wakati UKIMWI tunao kitaa, wengi tu washiriki wa ngono zembe na wavivu kupima. wakati tukiwashadadia hawa yawezekana tayari tuna maambukizi na sisi.

tubadiri mienendo yetu, kuugua kwa wabongo movie haifanyi sisi kuwa salama. tuwaombee waepushwe na mabaya huku nasi tukijitahidi kubadiri mtindo wa maisha yetu.
 
Kwenye hiyo orodha nina uhakika na hao watu wawili.
1.Jini kabula mwenyewe.
2.Agnes masogange.
3.Hissan Muya aka Tino.
4.Antie ezekiel.
5......
Wenye info mwaweza kuendeleza huo uzi.
Mkuu nasikia jini kabula kawaka kweli
 
Hakuna anayependa kuwa na ukimwi, ni matokeo tu ambayo hakuna wa kuyapinga kwa kuwa kila mtu anashiriki ngono zembe
hiyo ni ajali ambayo hautakiwi kabisa kumsema aliyeupata kama ana dhambi sana au namna gani vipi, hata sisi ambao hatujaupata ni neema tu, kwasababu tulishafanya sana hayo waliyofanya hao na wakaupata ila kwa neema tu wala sio kustahili, tukapona. acheni unyanyapaa na kuumiza mioyo ya walioathirika.
 
Nadhani uliyemquote alishaga kufa
 
hiyo ni ajali ambayo hautakiwi kabisa kumsema aliyeupata kama ana dhambi sana au namna gani vipi, hata sisi ambao hatujaupata ni neema tu, kwasababu tulishafanya sana hayo waliyofanya hao na wakaupata ila kwa neema tu wala sio kustahili, tukapona. acheni unyanyapaa na kuumiza mioyo ya walioathirika.
Asa mbona ume mquote marehem?au atasoma ujumbe wako huko alipo
 
Huyu Jini kabula si 2019 kama sikosei alikutwa na ngoma takataka kujiua kuna wema wakamsaidia kwa ushauri na kumuambia mbona wengi wanao kwenye fani lakini wanaishi nao.
 
Kawaida. Ukigundulika sikiliza ushauri wa daktari sio hao manabii wenu uchwala. Fuata kila anachokuambia maisha yataendelea tu.

Narudia tena achana na story za nabii wako, msikilize daktari wako. Mwenzio ana mgao wa kampeni tayari na familia yake ina bima kubwa hategemei maombezi.

Mungu wabariki waTanzania wameteseka saaana
 
Back
Top Bottom