Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Ku single out a group na kuwasimanga with generalization kwamba wana UKIMWI.

Mtego wa panya unanasa waliokusudiwa na wasokusudiwa.

Halafu habari za magonjwa kwa walioelimika ni suala la faragha, ukianza kwenda barabarani na kunyooshea vidole yule anaumwa hiki na yule anaumwa kile, utakuwa umekosa ustaarabu.

Otherwise, kama hamna haja ya fargha, basi tuanzishe a national register tuiweke online, kila mtu apime majibu yake yawe online tujue.

Sio tunanyooshea vidole watu wa bongo movies wakati UKIMWI umejaa nchi nzima kuanzia mawaziri na.wabunge mpaka watoto wa mitaani.


nimeipenda hii
 
Dah..
Hatari sana..
Hapo wa3(diana,semhando,aisha madinda) wameshaenda...

Na m1(banza stone) yupo hoi bin taabani..
Nae Mr.Nice nmemuona juzi sura imaharibika kwa majipu..

Yalabi tunusuru waja wako..
Kesheni mkiomba myakwepe Majaribu..

Tukienda kwa mwendo huu wa kuficha ficha mambo hakika tutaangamia sana,wasanii wanakulana wao kwa wao kinoma,wanazidi kugawana LUKU.
 
Electrical engineering

thA God thA bubbs!!
 
Back
Top Bottom