Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Unyanyapaa upo wapi?
Ku single out a group na kuwasimanga with generalization kwamba wana UKIMWI.

Mtego wa panya unanasa waliokusudiwa na wasokusudiwa.

Halafu habari za magonjwa kwa walioelimika ni suala la faragha, ukianza kwenda barabarani na kunyooshea vidole yule anaumwa hiki na yule anaumwa kile, utakuwa umekosa ustaarabu.

Otherwise, kama hamna haja ya fargha, basi tuanzishe a national register tuiweke online, kila mtu apime majibu yake yawe online tujue.

Sio tunanyooshea vidole watu wa bongo movies wakati UKIMWI umejaa nchi nzima kuanzia mawaziri na.wabunge mpaka watoto wa mitaani.
 
Bongo watu wanatafuta umaarufu na sio pesa tofauti na wenzetu ughaibuni umaarufu lazima uendane na kipato. Mastaa wetu wanaigiza mpaka katika maisha yao halisi.
 
Stevie nyerere Tajiri Mufupi ndani ya Gridi ya Taifa.
attachment.php
 
Kwa kweli hali so nzuri kabisa.

wanapokezana sana huyu kamla yule huyu kampa mimba huyu,hebu ona msondo ngoma ilivyopukutika almost bendi nzima kwisha,na hao b m watapotea kama hawatacha ushamba wao wa kukulana wao kwa wao,eti mr chuz kaoa jini kabula halaf kabla alikuwa na fulani baada ya jini ana mwingne khaaa na hapohapo anatembea na wanawake karibu wote wa hyo group yake,na hao madem wana wanaume zao nje ya hyo group!
what the hell?!
hata kama haubagui lakin kwa mfumo huo wa maisha haifai kuwatazama tu!
 
Ku single out a group na kuwasimanga with generalization kwamba wana UKIMWI.

Mtego wa panya unanasa waliokusudiwa na wasokusudiwa.

Halafu habari za magonjwa kwa walioelimika ni suala la faragha, ukianza kwenda barabarani na kunyooshea vidole yule anaumwa hiki na yule anaumwa kile, utakuwa umekosa ustaarabu.

Otherwise, kama hamna haja ya fargha, basi tuanzishe a national register tuiweke online, kila mtu apime majibu yake yawe online tujue.

Sio tunanyooshea vidole watu wa bongo movies wakati UKIMWI umejaa nchi nzima kuanzia mawaziri na.wabunge mpaka watoto wa mitaani.

Hii ni post of the year... Umeongea nimekosa cha kuongeza... Sante sana watu hawaelewi kabisa
 
Ku single out a group na kuwasimanga with generalization kwamba wana UKIMWI.

Mtego wa panya unanasa waliokusudiwa na wasokusudiwa.

Halafu habari za magonjwa kwa walioelimika ni suala la faragha, ukianza kwenda barabarani na kunyooshea vidole yule anaumwa hiki na yule anaumwa kile, utakuwa umekosa ustaarabu.

Otherwise, kama hamna haja ya fargha, basi tuanzishe a national register tuiweke online, kila mtu apime majibu yake yawe online tujue.

Sio tunanyooshea vidole watu wa bongo movies wakati UKIMWI umejaa nchi nzima kuanzia mawaziri na.wabunge mpaka watoto wa mitaani.

Hakuna anayependa kuwa na ukimwi, ni matokeo tu ambayo hakuna wa kuyapinga kwa kuwa kila mtu anashiriki ngono zembe
 
Back
Top Bottom