Hapo sibishi, wema anatoka na platinums, platinums ametoka na jokate, aunt ezekiel,irene uwoya,jack wolper, lulu,...... list ndefu, halafu angalia hao niliowataja na watu waliotoka nao kila mmoja, mfano lulu katoka na bob juniour(tetesi zangu), wema ndio usiseme, halafu ongeza na wolper na aunt, utaona mnyororo mrefu ambao ndani yake hata huyo anayedai kuwa wasanii wenzake wana ngoma na yeye mwenye yupo! "Ndege wafananao huruka pamoja".
si wanacondomising