Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyanyapaa.
Ku single out a group na kuwasimanga with generalization kwamba wana UKIMWI.Unyanyapaa upo wapi?
Kwa kweli hali so nzuri kabisa.
We movie sh 3000 moja utajiri watapata wapi???
sijakuelewa mkuu
Ku single out a group na kuwasimanga with generalization kwamba wana UKIMWI.
Mtego wa panya unanasa waliokusudiwa na wasokusudiwa.
Halafu habari za magonjwa kwa walioelimika ni suala la faragha, ukianza kwenda barabarani na kunyooshea vidole yule anaumwa hiki na yule anaumwa kile, utakuwa umekosa ustaarabu.
Otherwise, kama hamna haja ya fargha, basi tuanzishe a national register tuiweke online, kila mtu apime majibu yake yawe online tujue.
Sio tunanyooshea vidole watu wa bongo movies wakati UKIMWI umejaa nchi nzima kuanzia mawaziri na.wabunge mpaka watoto wa mitaani.
Stevie nyerere Tajiri Mufupi ndani ya Gridi ya Taifa.
![]()

Si kweli