Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Jini Kabula: Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Ni Waathirika Wa Ukimwi

Kuna dada mmoja alitoka na mr nice na nnakumbuka kama alizaa nae kabisa, huyo dada aliugua ugonjwa ambao magazeti ya udaku hayakusema ingawa walikuwa wanamwandika kuwa ni mgonjwa, yule dada alikufa akiwa amekonda sana, sina hakika nae kama alikuwa kwenye gridi ya taifa.
Alikua ni mcheza show moja ya band aliyochezea ni twangapepeta alikua anajiita Diana aston villa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miriam-Jolwa-Kabula-cut.jpg
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwei litawateketeza wasanii wote wa Bongo movie na hakuna atakaebaki kama hawatobadilika kitabia.​

Akiongea na gazeti la pendwa na Watanzania Maskani Bongo alisem" Sio siri kwa mfano leo hii wasanii wote bongo movie waseme wakamatwe kinguvu wakapimwe HIV utaona hali ilivyokuwa mbaya na sijui hata mmoja atakuwa mzima na sababu kubwa ni njaa ambapo sisi wengi wetu tuna majina lakini hatuna kitu hivyo hiyo hutoa nafasi ya kujirahisha ili kupata pesa" Alisem Kabula kwa uchungu.​
Hakuna marefu yasiokua na mwisho
 
Hapa ndipo kauli ya 'pambana na hali yako 'inapochukua uzito kwa 100%
 
Kwenye hiyo orodha nina uhakika na hao watu wawili.
1.Jini kabula mwenyewe.
2.Agnes masogange.
3.Hissan Muya aka Tino.
4.Antie ezekiel.
5......
Wenye info mwaweza kuendeleza huo uzi.
Mmh hii hatari, so tumuongeze na mose iyobo??
 
Hapo sibishi, wema anatoka na platinums, platinums ametoka na jokate, aunt ezekiel,irene uwoya,jack wolper, lulu,...... list ndefu, halafu angalia hao niliowataja na watu waliotoka nao kila mmoja, mfano lulu katoka na bob juniour(tetesi zangu), wema ndio usiseme, halafu ongeza na wolper na aunt, utaona mnyororo mrefu ambao ndani yake hata huyo anayedai kuwa wasanii wenzake wana ngoma na yeye mwenye yupo! "Ndege wafananao huruka pamoja".
We kaka kama upo bado jf hebu rudi mara moja, unafanyia ctc?
 
Back
Top Bottom