Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Tulishinda uchaguzi lakini tumeibiwa kura 😂Acha uongo bwana wewe una hasira zako binafsi na awamu ya 5 subiri 2025 update hasira tena😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulishinda uchaguzi lakini tumeibiwa kura 😂Acha uongo bwana wewe una hasira zako binafsi na awamu ya 5 subiri 2025 update hasira tena😁
Ila ww jamaa bhana 😂 JPM alikuchukuliaga mume nini mbona hvy.?Utawala wa awamu ile uliamini kwenye Umasikini , Shida na Mateso . Kwamba umasikini ni baraka .
Akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania 2015 , alikuwa akihutubia kwao Chato na alizungumzia ufaulu wa Darasa la 7 baada ya wanafunzi wengi kufeli kwenye shule aliyosoma...
Pinga hoja zangu kwa vielelezoIla ww jamaa bhana 😂 JPM alikuchukuliaga mume nini mbona hvy.?
Panya Road awamu ya nne sio ya tano. Awamu ya tano kila mtu alitafuta kipato kisicho tiliwa mashaka. Leo umeamua kuhamia awamu ya tato baada ya hii ya Sita kuwalambisha asali?Utawala wa awamu ile uliamini kwenye Umasikini , Shida na Mateso . Kwamba umasikini ni baraka .
Akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania 2015 , alikuwa akihutubia kwao Chato na alizungumzia ufaulu wa Darasa la 7 baada ya wanafunzi wengi kufeli kwenye shule...
Hiyo Bilicanas unayodai ilikuwa ni Danguro tu, tena a lesser version ya Maggot.Bila shaka hujui kusoma
Hayo ni makosa ya Serikali kuto kulinda Viwanda vya ndanimatajiri ni maadui
Ni raia lakini wa ZambiaUmeandika kama vile wewe si Raia
Matajiri siyo maadui, viongozi wanaofanya biashara kwa siri ndiyo maadui kwa kuwa wana mgongano wa maslahi na kwa vyovyote wataamua kuua sekta ya uma ili biashara zao ziendelee.Mimi naamini bado matajiri ni maadui. Hebu fikiria mtu mmoja anaagiza matairi nje alafu anayauza hapa nchini yeye na familia yake ambapo kiwanda kinachoajiri zaidi ya watu 2000 kinaachwa kife. Hivi viwanda vya aina hii vikiwa vinne nchini watu wangapi watapata ajira? Viwanda kama Tanganyika Packers, Urafiki, UFI, Mwatex, Mutex, Morogoro shoes tena kule morogoro viwanda kibao hivi vyote serikali iliwekeza jee hakuna mtu mwenye mawazo ya kuvifufua? Nchi yetu iligeuka nchi ya wachuuzi tu yaani kwenda Dubai, China, Singapore , Thailand na kuleta mitumba toka nje !!!Hapo hakuna maendeleo. Nchi yetu ni kubwa population ni kubwa hatuna shida ya soko. Matajiri wa mabasi na malori sasa hivi wanashugulikia SGR isifanye kazi hata Morogoro tu haijafika....Ufadhili wa michezo waliofadhili wameambiwa tena hadhalani kwamba wasisumbuliwe na TRA maana yake mizigo yao wanayoingiza nchini hawalipi kodi..
Usiku mwemaNimeishia ulipomtaja JIWE , chuki siyo nzuri alafu kila mtawala anakuwa na maono yake.
Mbona unaonyesha uwezo mdogo kifikra, wewe unakosoa Awamu ya Tano kumbe unatuambia tena Awamu ya Sita ni wazembe, so which is which?Huo ni uzembe wa serikali yako
Mkuu hela ya Membe umelipa ?Mbona unaonyesha uwezo mdogo kifikra, wewe unakosoa Awamu ya Tano kumbe unatuambia tena Awamu ya Sita ni wazembe, so which is which?
Yaani unapinga kujiimarisha kwenye uzalishaji wa viwanda vya ndani ili tuendelee kutegemea wachuuzi wa nje eti wataleta ajira my foot.
Kaka nyamaza kabla sijakulipuaMbona unaonyesha uwezo mdogo kifikra, wewe unakosoa Awamu ya Tano kumbe unatuambia tena Awamu ya Sita ni wazembe, so which is which?
Yaani unapinga kujiimarisha kwenye uzalishaji wa viwanda vya ndani ili tuendelee kutegemea wachuuzi wa nje eti wataleta ajira my foot.
Umelishwa matango poriHiyo Bilicanas unayodai ilikuwa ni Danguro tu, tena a lesser version ya Maggot.
Hiyo Bilicanas ilikuwa inajulikana kama kituo cha Mamisheni tauni wote Dar usiku. Biashara zoye haramu zilikiwa zikijadiliwa pale ghorofani....ndio mule vyumbani? Kwanini kusiwemo na fedha zisizo halali?
Hiyo Billicanas ilikuwa ikisadikia kuwa ya utakashishaji wa fedha? haramu.
Hiyo Billicanas ilikuwa hailipi pango National Housing
Mbali na hela ya Urithi, hizo zingine zina uwezekano mkubwa sana zilikuwa sio halali. Unabisha? Mbona hakuenda mahakamani kuzidai fedha zake
Manji ndio kabisaaa
Nimekusoma, ila sasa utanielewa.
Takwimu hazidanganyi. As a matter of fact hata lile dubwasha Guggu ukigonga unaelezwa, hakuna wakati mwingine wowote ule Tanzania uchumi wake ulikuwa maradufu na kwa haraka kama nyakati ya Hayat Magufuli. HakunaHakuna formula ya kuendeleza uchumi kwa kuwakandamiza wenye mitaji. Magufuli alikosea sana..
Na laiti kama angekuwa anakubali kushauriwa na kushaurika angekuwa kiongozi bora wa mfano kuwahi kutokea.
Ninachoamini hii nchi mtu akiwa kiongozi anakuwa anazungukwa na smart brain na atapata ushauri wote mzuri anaoutaka, shida itaanza kama kiongozi akiwa na ego na kukataa ushauri, hicho ndo kilimponza Magufuli... Kuona kwamba alikuwa anajua kila kitu lilikuwa ni kosa kubwa sana
Aende mahakamani na sio kutaka kujificha kwenye maridhiano kisha aje aombe msamaha.Umelishwa matango pori
Hukumuelewa Dkt Magufuli, pole sana.Utawala wa awamu ile uliamini kwenye Umasikini, Shida na Mateso . Kwamba umasikini ni baraka .
Akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania 2015 , alikuwa akihutubia kwao Chato na alizungumzia ufaulu wa Darasa la 7 baada ya wanafunzi wengi kufeli kwenye shule aliyosoma , aliwalaumu wazazi kwa kuwalea watoto wao kimayaimayai , aliendelea kusema kwamba enzi zao walitembea umbali mrefu kwenda shule kwa miguu ( TZ 11 ) na walishinda njaa lakini walifaulu , yaani kiongozi anaamini dhiki italeta ufaulu! Hakika haya yalikuwa mawazo duni sana .
Uongozi wa awamu hii uliamini kwamba matajiri ni maadui na ni wezi , na kwamba hela zao hazikuwa za halali, kwamba huwezi kuwa na hela bila kuiba, Bilionea Mbowe na Club yake ya Bilicanas wakashughulikiwa na kufilisiwa , serikali ikapora hadi Spika na waya za club hiyo , kwenye uharamia huu Jiwe alishirikiana kikamilifu na Nehemia Mchechu, Yusuph Manji na matajiri wengine kadhaa wakadhibitiwa na kusingiziwa kila uchafu , hela zao zikaporwa .
Matokeo yake ajira zikafa , na ufadhili kwenye kila sekta hadi kwenye michezo zikayeyuka , Panya Road wakaibuka.
Mimi naona wewe ni mpumbavu tu na huna hoja ya maana. Stupid monkey. Badala uzungumzie changamoto za sasa unaleta chuki za kijinga kwa awamu iliyopita.Utawala wa awamu ile uliamini kwenye Umasikini, Shida na Mateso . Kwamba umasikini ni baraka .
Akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania 2015 , alikuwa akihutubia kwao Chato na alizungumzia ufaulu wa Darasa la 7 baada ya wanafunzi wengi kufeli kwenye shule aliyosoma , aliwalaumu wazazi kwa kuwalea watoto wao kimayaimayai , aliendelea kusema kwamba enzi zao walitembea umbali mrefu kwenda shule kwa miguu ( TZ 11 ) na walishinda njaa lakini walifaulu , yaani kiongozi anaamini dhiki italeta ufaulu! Hakika haya yalikuwa mawazo duni sana .
Uongozi wa awamu hii uliamini kwamba matajiri ni maadui na ni wezi , na kwamba hela zao hazikuwa za halali, kwamba huwezi kuwa na hela bila kuiba, Bilionea Mbowe na Club yake ya Bilicanas wakashughulikiwa na kufilisiwa , serikali ikapora hadi Spika na waya za club hiyo , kwenye uharamia huu Jiwe alishirikiana kikamilifu na Nehemia Mchechu, Yusuph Manji na matajiri wengine kadhaa wakadhibitiwa na kusingiziwa kila uchafu , hela zao zikaporwa .
Matokeo yake ajira zikafa , na ufadhili kwenye kila sekta hadi kwenye michezo zikayeyuka , Panya Road wakaibuka.
Anaekusanya kodi bandarini ni TRA pekee yake?kwamba wasisumbuliwe na TRA maana yake mizigo yao wanayoingiza nchini hawalipi kodi..
Wewe huwa ni mtu mwenye fikra mbirikimo na akili zenye matege,haujawahi kupumzika juu ya awamu ya tano,kila mada una andika ni awamu ya tano,unaviza akili yako kwa kuruhusu chuki iutawale moyo na akili zako,utaendelea kuteseka sana kwa ajiri ya huo upumbavu wako.Huo ni uzembe wa serikali yako