Jinsi awamu ya 5 ilivyoua ajira za Vijana wazawa

Ila ww jamaa bhana 😂 JPM alikuchukuliaga mume nini mbona hvy.?
 
Panya Road awamu ya nne sio ya tano. Awamu ya tano kila mtu alitafuta kipato kisicho tiliwa mashaka. Leo umeamua kuhamia awamu ya tato baada ya hii ya Sita kuwalambisha asali?
 
Bila shaka hujui kusoma
Hiyo Bilicanas unayodai ilikuwa ni Danguro tu, tena a lesser version ya Maggot.

Hiyo Bilicanas ilikuwa inajulikana kama kituo cha Mamisheni tauni wote Dar usiku. Biashara zoye haramu zilikiwa zikijadiliwa pale ghorofani....ndio mule vyumbani? Kwanini kusiwemo na fedha zisizo halali?

Hiyo Billicanas ilikuwa ikisadikia kuwa ya utakashishaji wa fedha? haramu.

Hiyo Billicanas ilikuwa hailipi pango National Housing

Mbali na hela ya Urithi, hizo zingine zina uwezekano mkubwa sana zilikuwa sio halali. Unabisha? Mbona hakuenda mahakamani kuzidai fedha zake

Manji ndio kabisaaa

Nimekusoma, ila sasa utanielewa.
 
Matajiri siyo maadui, viongozi wanaofanya biashara kwa siri ndiyo maadui kwa kuwa wana mgongano wa maslahi na kwa vyovyote wataamua kuua sekta ya uma ili biashara zao ziendelee.
Tunahitaji wafanyabiashara huru, wasiojihusisha na siasa moja kwa moja ili serikali iwajibike kwa wananchi walio wengi ambao kura zao zina nguvu dhidi ya viongozi wa kisiasa.
Hata hivyo, siyo rahisi kutenganisha wafanyabiashara matajiri na siasa kwa kuwa wanasiasa wengi hutumia vyeo vyao na vyombo via dola kutafuta rushwa kwa nguvu kutoka kwa wafanyabiashara.
 
Mkuu hela ya Membe umelipa ?
 
Kaka nyamaza kabla sijakulipua
 
Umelishwa matango pori
 
Takwimu hazidanganyi. As a matter of fact hata lile dubwasha Guggu ukigonga unaelezwa, hakuna wakati mwingine wowote ule Tanzania uchumi wake ulikuwa maradufu na kwa haraka kama nyakati ya Hayat Magufuli. Hakuna

...itoshe hakuna sehemu yeyote ile inayosema hakushaurika....

Erythro(na genge lake)sio CHADEMA wala CCM, ni mawakala na mamluki wa Mabeberu na wanaijificha kwenye chaka la Upinzani, hawapendi Upinzani wa kweli wa Mwafrika, kuwa huru na Rasilimali zake....na Uchumi wake.

Mfuatilie vizuri utaelewa... Mbowe mwenyewe aliwakataa hawa vibaraka na kuziita hizi posti zao "propaganda za kitoto".

Ushajiuliza kwanini wao huwa wanaleta Nyuzi kama hizi? Nyuzi za kufunika!

Walikuwa wapi wakati wa ishu ya bandari ilipojitokeza?
 
Hukumuelewa Dkt Magufuli, pole sana.
 
Mimi naona wewe ni mpumbavu tu na huna hoja ya maana. Stupid monkey. Badala uzungumzie changamoto za sasa unaleta chuki za kijinga kwa awamu iliyopita.
 
Huo ni uzembe wa serikali yako
Wewe huwa ni mtu mwenye fikra mbirikimo na akili zenye matege,haujawahi kupumzika juu ya awamu ya tano,kila mada una andika ni awamu ya tano,unaviza akili yako kwa kuruhusu chuki iutawale moyo na akili zako,utaendelea kuteseka sana kwa ajiri ya huo upumbavu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…